Comred Mugabe aomba USA kuondoa vikwazo

Comred Mugabe aomba USA kuondoa vikwazo

Afadhali kaufyata kabla wa kwetu hajajzidi kushupaza shingo kwa kuiga kwa muga, Mungu analipenda taifa hili.
 
Watawala wa afrika mnajifanya wababe huku uwezo hakuna.
 
Mugabe angekuwa muelewa wakati huu ilimfaa kuachia madaraka kuitisha uchaguzi wa huru na haki yy anajidai kiburi kwa miaka yote hiyo walioathirika ni wananchi wa hali ya chini
 
Alikua abawatukana magharibi akijua atashirikiana kibiashara na china mamb yatakua mazuri.....sasa ametambua kuwa mabenk EU na US yakikuwekea ngumu lazima uisome namba haijalish biashara unafanyia wapi
 
China ni moja ya wawekezaji wabovu katika ulimwengu huu!
 
China ni moja ya wawekezaji wabovu katika ulimwengu huu!
Haswaa sema viongoz wetu waafrica wanawapenda coz wale wanachojua ni biashara tu hawahoji umeua watu wangapi kwa mwaka wala demokrasia wao hawana mda huo
 
Haswaa sema viongoz wetu waafrica wanawapenda coz wale wanachojua ni biashara tu hawahoji umeua watu wangapi kwa mwaka wala demokrasia wao hawana mda huo
Hata hivyo wanafata walichokiijia basi hayo mengine huwa hayawahusu
 
Bado mmoja ndo atafyata kuliko huyu Mugabe..unaleta jeuri wakati huna pumzi
 
This person is amazing really. ..ni SIMBA haswa nikiangalia afya yake. ..magnificent. .
 
Back
Top Bottom