Comrade Mwigulu ndani ya Muheza

na huyu jamaa ndio mwiba kwa cdm wanamuogopa kama njaa

Ulishawahi kumuuliza Arusha pamoja na kuwaua watu bado walimfanya nini hao Chadema? Ulikuwa ni msiba kwa Mwigulu na wenzake.
 

Mpwa nakubaliana na wewe kuwa alitushughulikia kwa kututesa na kubambikia kesi za uongo. Kwahili namkubali ila sio na Nyerere. Unamkosea heshima Nyerere
 

Mpwa pesa za uswisi zitarudi mda wake ukifika. Ngoja watu Jembe letu lije madarakani tutawashuhulikia wezi wote.
 
Miaka 53 ya uhuru Muheza hawana maji ya bomba sasa atawahadaa nini .

Miaka 53 ilikuwa na changamoto nyingi ikiwemo mafisadi wengi kuihujumu nchi. Wakati tulionao wapiganiji wameongezeka mambo yataenda vizuri hakuna shaka.
 
chamviga kauli ya rais maji mpaka 2016 na mwiguru amesema mwaka huu nabi mkweli?

Mkuu wa nchi wawakilishi wake ni pamoja na mawaziri kauli ya waziri na naibu katibu wake ni kauli ya Rais. Tuwape muda.
 

Kuna kitu gani cha ajabu sana ambacho kinatuzuia kuwafananisha wawili hawa wakati wanaendana?
 
Kuna kitu gani cha ajabu sana ambacho kinatuzuia kuwafananisha wawili hawa wakati wanaendana?

Hivi mkuu hata kama hukuwepo wakati wa Nyerere kwa maana ya kuwa ulikuwa bado hujajua jema na baya, lakini hata historia iko wazi kuhusu maisha yake.
Umewahi kusoma au kisikia wapi amehusishwa na Ugoni, kushiriki mambo ya kigaidi, kuwadharau wananchi wake,kurubuni watu na mengine mengi yaliyo katazo katika jamii? Sasa huyo mnayempigia chapuo ana mangapi katika hayo tuliyotaja kama sio yote?
Heshima ya Nyerere imevuka mipaka ya nchi katika uadilifu na hakuwa mropokaji wa hovyo hovyo kama alivyo Mwigulu.
Mwigulu ametimiza miaka 40 january mwaka huu, Mwl Nyerere alitimiza miaka 40 April 1962, sasa hebu jaribu kulinganisha hekima za Nyerere 1962 na za huyu jamaa mwaka huu katika kigezo cha umri (ingawa hilo la umri sio muhimu sana)
 

Nyerere angekuwepo zama hizi ungesikia kila aina ya tuhuma dhidi yake. Hayo yote yaliosemwa dhidi ya Mwigulu kwakuwa hakuna ushahidi wowote c kweli. Nyerere hakuwahi kukosolewa kwa wazi katika wakati wake kwa yale ya kweli au ya uongo.
 

CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.

CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi ni mwaka 2015 kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa ‘magunia ya misumari’ ya bei ya juu ya umeme, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha, EPA na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.

It’s a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and that’s when magambas will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCM’s tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave in a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits the minority fisadis and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.

What comes around goes around. Let CCM go to hell for good because they have absolutely failed to uplift the living standards of millions of Tanzanians at the expense of a few fisadis whose gargantuan stomachs never fill up! And no one should be blamed for the hatred and grudge that many Tanzanians hold against CCM and their crooked government except fisadis themselves who, horrendously, decided to gnaw the cassava-made boat by which they were sailing!

The only weapon we have today, if we wish to change the history of our country that has been exploitative since independence, is UNITY AND SOLIDARITY. We must understand that our government and the ruling party will not easily accept to quit the state and leave all fruits they are enjoying currently. We must ensure our people join us in this struggle. I believe one day we shall all enjoy living in a country without discrimination, exploitation, suffering and humiliation.

FaizaFoxy, MwanaDiwani, msalani, T 2015 CCM East African Eagle, Ritz, mjepo, laki si pesa, Agogwe, gsu, Simiyu Yetu, thatha, TataMadiba, Mwigulu Nchemba, et al.
 
Last edited by a moderator:
Mpwa kwa hili umeniangusha sana sana kwa hili. Sijui wengine watasemaje akina lusungo tpaul MANI BAK na wengine

mkuu CHAMVIGA, kumfananisha mwigulu na Nyerere ni sawa na kumfananisha tembo na nyenyere...mwigulu ana nini kipya mpaka afananishwe na mtakatifu Nyerere? tuache kumkufuru Mungu jamani.
 
Last edited by a moderator:

Kikwete kawashika pabaya, wezi wote mnatafuta pakutokea. Na bado.

Mlikuwa mkiiba bila kikomo kabla ya ujio wa Kikwete. Kayabumburusha yote, mauchafu yote makubwa makubwa ya nchi ukiyaona unakuta yamenzia hizo awamu za "wapendwa".

Leo wakati wa Kikwete tumeona mawaziri wakifikishwa mahakamani kwa ubadhiru, tumeona mabalozi wakifikishwa mahakamani kwa ubadhirifu, tumeona, tumeona, tumeona.

Tunajuwa ni nyinyi mnaotumika kati ya hao hao wezi waliobanwa kuja mitandaoni na kujaribu ku tarnish image ya Kikwete kwa kuwa mmebanwa mbavu. Nasema, na bado mtaungulika sana kwani hana dalili ya kusamehe hata chembe.
 

Mpwa nimeiona ila SIHASA huwa nina allergy nazo make hazina muafaka!
 
Mwigulu ni kiongozi nje na ndani, tunakutakia kila la heri katika harakati zako za baadae
 

Kijana nina kuonya tena leo UACHE kutumika vibaya kwani ni dhambi hata kwa Mola wako, hasa unapotumika kwa MAFEDHULI WA CCM. Wenzako wana tiketi ya Motyo wa Jehanamu unawangoja. Epuka kutumika vibaya
 
Kijana nina kuonya tena leo UACHE kutumika vibaya kwani ni dhambi hata kwa Mola wako, hasa unapotumika kwa MAFEDHULI WA CCM. Wenzako wana tiketi ya Motyo wa Jehanamu unawangoja. Epuka kutumika vibaya

Umejuaje kama wanaticketi ya motoni kwa dhambi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…