CHAMVIGA
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 7,687
- 2,240
Anaongea sasa hivi hapa na wana Muheza katika ziara ya baadhi ya wilaya za mkoa wa Tanga.
Anasema mwizi hana chama. Anaweza kuwa Chadema, Ccm au kabila lolote. Watu wasiihukumu CCM kwa ujambazi wa watu wachache.
Wezi wa madawa mahospitalini ni wauaji kama wauaji wengine sheria iwashuhulikie wanapobainika.
Anawaomba watanzania wamuunge mkono katika harakati zake za kupambana ma mafisadi na wahujumu uchumi.
Anasema serikali ipo katika harakati za kulifikisha Taifa katika nchi yenye kipato cha kati. Ni kazi kubwa lakini watanzania wakiungana katika harakati na kuinga mkono serikali ya CCM mkono.
Anawaomba Watanzania kutohadaika na vyama vya upinzani ambavyo vyenyewe vimeshindwa kujiongoza vyenyewe kwamba vitaweza kuliongoza taifa. Hakuna zaidi ya CCM inaynweza kuwafikisha watanzania katika maisha bora.
Anazungumza kama mwl Nyerere kiukweli kwa kujiamini sana. Bila shaka atakuwa mrithi bora wa Lowassa atakapoondoka madarakani.
COMRADE ameongea mengi sana ya ujenzi na sasa anaelekea wilaya nyingine kwa ajili ya mashambulizi ya kuwashukuru watanzania kAKUENDELEA KUINGA MKONO CCM.