computer

malulu.makubi

Member
Mar 23, 2012
29
9
Habari zenu wakuu, nakuja humu JF kwa imani nitapata ninachokihitaji.
Natafuta computer (latest) kwa matumizi yangu ya kawaida. Pesa is not a problem. Mimi ni lecturer wa chuo kikuu
 
Habari zenu wakuu, nakuja humu JF kwa imani nitapata ninachokihitaji.
Natafuta computer (latest) kwa matumizi yangu ya kawaida. Pesa is not a problem. Mimi ni lecturer wa chuo kikuu
Vipi hapo Mlimani City umeshajaribu kuzungukia? Kama vp jaribu hapo unaweza kupata options tofauti tofauti.
 
Ww ni lecturer wa chuo gani? unanitia mashaka na kujiuliza maswali mengi. Ok, haya tuachane nayo. Kama hapo chuoni kwako kuna mtu wa ICT basi wasiliana nae akupe maelezo namna ya kufahamu kompyuta nzuri. Au tafuta duka lo lote linalouza compyuta upate maelezo ya kina hasa katika jiji letu la DSM. Achana na used computers zinaweza kukuletea matatizo. Ukitaka lap top nunua DELL au HP ingawa nazo ziko za matoleo mengi au aina tofautitofauti. Ila...changanya na zako!
 
Habari zenu wakuu, nakuja humu JF kwa imani nitapata ninachokihitaji.
Natafuta computer (latest) kwa matumizi yangu ya kawaida. Pesa is not a problem. Mimi ni lecturer wa chuo kikuu

asante kwa taarifa mr lecturer , karibu JF​
 
Mimi nimechoka kusoma Kiswahili kibaya kwenye mtandao. Binafsi nimetunga kamusi ya Istilahi ya Ngamizi. Haina ithibaki hata kidogo. Ni tunda tu la kazi yangu mwenyewe. Labda wapendao mambo ya kitarakirishi wataweza kuisahihisha au kuiongeza n.k. Anwani yangu: klfmzungu@gmail.com. Wasiliane nami nikutumie nakala ya kamusi hiyo uisome na ...... tuone!

Kevin Foyle snr.
 
Mkuu@klf hiyo Kamusi yako si uiweke hapa utapata watu wa kukurekebishia makosa yako unasemaje mkuu?
 
Mkuu@klf hiyo Kamusi yako si uiweke hapa utapata watu wa kukurekebishia makosa yako unasemaje mkuu?

Bwana MziziMkavu: Kwa kweli hukuishiwa maji!!

Nitafanya kama ulivyopendekeza: kutuma kamusi hiyo kwenye Tovuti ya Jamii Forums nikiilekeze kwako kwenye Ukumbi wa Tech, Gadgets and Science. Ningefurahi kupata msaada wa wanakumbi wengine. Mimi si mzaliwa wa TZ! Lakini nilikaa miaka kama ishirini nikifundisha Kimombo nchini na Kenya pia. Nilikuwa "mkereketwa" wa Kiswahili!

Makosa yamo kamusini lakini mimi nimeridhika kwamba jaribio langu kwa ajili ya lugha ya Kiswahili litathaminiwa jinsi ilivyo..

Asante kwa mwaliko wako kuiweka ukumbini. Nitafuatilia mwendo wa kazi ya uboreshaji.

Kila la kheri!

Basi nitume kamusi jinsi gani?
 
Bwana MziziMkavu: Sijui namna ya kukuteremshia Kamusi ile ya Istilahi ya Ngamizi. Je, naomba unisaidie. Mbinu gani lazima nizitumie?
Asante.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom