Mr. madevu
JF-Expert Member
- Mar 2, 2013
- 432
- 75
Tafadhali kwa anae fahamu sehemu ambayo naweza kupata laptop used kwa bei ndogo. Nahitaji kufungua biashara ya kuuza hivo vifaa. Vile vile nitafurahi zaidi kama nitapata mtu ambaye ni mzoefu wa hii biashara ili anishauri zaidi.