kyesha Member Joined Feb 17, 2019 Posts 40 Reaction score 65 Jun 18, 2024 #1 Habari za Midaa Wadau!! Mtaalamu wa computer anisaidie, nimepata changamoto. Daaah, laptop yangu inagoma kuwaka Adapter Iko gudi tu, ni Dell
Habari za Midaa Wadau!! Mtaalamu wa computer anisaidie, nimepata changamoto. Daaah, laptop yangu inagoma kuwaka Adapter Iko gudi tu, ni Dell
kaa chini JF-Expert Member Joined Jun 4, 2022 Posts 2,102 Reaction score 4,386 Jun 18, 2024 #2 Ngoja wenyewe waje,maana mimi najua kuwasha na kuzima tu
mwaibile JF-Expert Member Joined Nov 16, 2022 Posts 1,337 Reaction score 3,221 Jun 18, 2024 #4 kyesha said: Habari za Midaa Wadau!!! Mtaalamu wa computer anisaidie, nimepata changamoto . Daaah, laptop yangu inagoma kuwaka Adapter Iko gudi tu, ni Dell Click to expand... Inamda gani tangia ununue na unatabia ya kuazimisha
kyesha said: Habari za Midaa Wadau!!! Mtaalamu wa computer anisaidie, nimepata changamoto . Daaah, laptop yangu inagoma kuwaka Adapter Iko gudi tu, ni Dell Click to expand... Inamda gani tangia ununue na unatabia ya kuazimisha
Vien JF-Expert Member Joined Mar 6, 2020 Posts 7,298 Reaction score 11,840 Jun 19, 2024 #5 mwaibile said: Inamda gani tangia ununue na unatabia ya kuazimisha Click to expand... Nafkir mtoa mada anatafuta technical answer na sio Social answer Km huna utaalamu ungetulia
mwaibile said: Inamda gani tangia ununue na unatabia ya kuazimisha Click to expand... Nafkir mtoa mada anatafuta technical answer na sio Social answer Km huna utaalamu ungetulia
pirate JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 725 Reaction score 714 Jun 19, 2024 #6 kyesha said: Habari za Midaa Wadau!! Mtaalamu wa computer anisaidie, nimepata changamoto. Daaah, laptop yangu inagoma kuwaka Adapter Iko gudi tu, ni Dell Click to expand... Embu Nijib kwanza aya maswali kisha tupate ufumbuzi; Umejuaje kama Adapter ipo sawa? Na imegoma kuwaka ukibonyeza power button inafanyaje? Umetoa battery na kuwasha kwa kutumia adapter? Je Pc yako inatabia ya kupata moto sana wakati wa kuitumia? Click to expand...
kyesha said: Habari za Midaa Wadau!! Mtaalamu wa computer anisaidie, nimepata changamoto. Daaah, laptop yangu inagoma kuwaka Adapter Iko gudi tu, ni Dell Click to expand... Embu Nijib kwanza aya maswali kisha tupate ufumbuzi; Umejuaje kama Adapter ipo sawa? Na imegoma kuwaka ukibonyeza power button inafanyaje? Umetoa battery na kuwasha kwa kutumia adapter? Je Pc yako inatabia ya kupata moto sana wakati wa kuitumia? Click to expand...