kompyuta inavyowaka (boot) the first thing huwa inafanya ni the
Power On Self Tests (
POST). hizi test ni za kuhakisha system inaenda vizuri na itatoa beeps au messages tofauti kama kuna error in major components. hizi major components ni
mobo (motherboard), processor, hard disk na RAM. I suppose tunaweza ongeza pia HSF (heat sink fan) na PSU (power supply unit).
if any of these hazifunction properly YOUR COMPUTER WILL NOT BOOT period!!
cha pili computers huangalia ni VGA. depending na manufacturer wa kompyuter yako, kama vga ina shida your computer may or may not boot (tuachane na the fact ya kuwa haitadisplay if the vga wont work lol).
hizi hapa ni basic computer knowledge na mnaniangusha sana mnavyojadili kama ni RAM ina shida wakati computer bila RAM haiboot
kuna maneno haya "Error allocating Mem BAR for pci device" je inawezekana kuna hitilafu kwenye HDD au RAM?
ulivyosema kwamba computer yako inaboot vizuri lakini misho wa siku inakuletea hiyo message in red, narudia tena, kuna shida in one of ur PCI cards au either ur BIOS haijazitambua vizuri. if a piece of hardware haitambuliki in BIOS, then ur OS haitaweza kuzi recognise pia.
fanya hivi. fungua mashine yako utoe every piece of PCI card installed on it. nadhani unajua PCI cards ni nini (and ofcoz nilieleza hapo awali) iwe ni ya modem au sound, just remove it. boot kompyuta yako bila any of them uone kama itaboot. ikiboot bila any error message, izime then weka card moja ndani ureboot tena. ikioot, zima, chomoa card uliyoweka sogeza pembeni and try another card. rinse and repeat mpaka umshike culprit.
of course inawezekana kuwa kuna slot imekufa, so ukipata card inayo malfunction, jaribu kubadilisha slot (hata kama una 16-8-8)
unaweza ona kama ni time consuming, ila bila kufanya hivi, hutajua shida ya kompyuta yako (that au kumtafuta fundi kama mie :biggrin
🙂. so test
ALL your pci cards
kuna uwezekano pia kuwa mobo yako ndo ina shida kwenye pci slots na pci cards zake ndo hazina shida (in which case ur looking to buy another motherboard) lakini naamini shida sio kubwa kihivo
good luck
leh