Nakubaliana na wazo kasome BAF au B.COM Finance au Accounts, piga GPA above 4.0 kama upo mzumbe. Ingia zako auditing firm au bank kubwa kubwa ( NMB, CRDB, NBC, SCB, CitiBank ) anza career yako hapo. Waoneshe kwamba wewe uko fit, departments za kuingia bank ni Treasury na Credit ukiweza.
Sababu ni departments ambazo zinatengeneza income ya bank kwa uwazi zaidi, hivyo ni rahisi ku prove contribution yako ikoje kwenye overall income ya bank. Tofauti na departments zingine ambazo ni supporting, visibility inakuwa finyu sana.
Banking industry is really paying, huo ni uhakika nakupa.
Sijutii maamuzi yangu ya kuacha kufanya Telecom
Acha kudanganya watu wewe,unajua graduate wa Accounts wako wangapi hapa Tanzania? Karibia kila chuo kinafundisha accounts so ushindani ni mkubwa sana kwenye soko la ajira kwenye Account,then sidhani kama ni ukweli watu wa-IT wana mishahara midogo,wengi waliosoma Account wameishia kuwa ma bank-tellerDogo fuata ushauri wa mwanzo kabisa,, nenda zako Mzumbe BAF au UDSM b com accounts piga zako ma gpa ingia zako auditing firm kaanze safari yako ya career,,, hizo telecom sijui computer science zilikuwa zamani... Now days chaka tu kampuni haziajiri mafundi zina outsource kwa kampuni ndogo ndogo za wahindi like powercomputer, infotech etc,, na hata za simu zina outsource kwa vikampuni vidogo kama prime power, mactech etc,,,, so degree za ufundi miaka ya sasa unapotea utaishia vikampuni vidogo vyenye mishahara kidogo
Acha kudanganya watu wewe,unajua graduate wa Accounts wako wangapi hapa Tanzania? Karibia kila chuo kinafundisha accounts so ushindani ni mkubwa sana kwenye soko la ajira kwenye Account,then sidhani kama ni ukweli watu wa-IT wana mishahara midogo,wengi waliosoma Account wameishia kuwa ma bank-teller
Hakuna course mbaya but kuna ushindani mkubwa sana kwenye soko la ajira tofauti na huyo jamaa alivyosema hapo juu.Cha msingi sikiliza moyo wako na chagua masomo ambayo utayamudu na usome kwa bidii na ufauluvipi kwa wanaochagua kusoma IT!
JE NI COARSE NZURI?
BAF imetoka wapi? ameuliza kati ya A na B watu wanajibu C,duh!.
Anyway,hizo course mbili hazina tofauti kubwa kwenye upande wa kazi,graduate wa zote mbili wanaweza kufanya kazi departement moja au hata kazi moja(sometimes).Hata kwenye upande wa ajira misharaha yao haina tofauti sana.Kuhusu wewe,inategemea na unapenda nini kama unapenda mambo ya network ningekushauri soma Telecom,pia mambo ya frequency,na kwa ukubwa mobile network yenyewe.Ukienda pale TCRA utakuta watu kama NETWORK ENGINEER,FREQUENCY ENG, etc.pia mambo ya Routing and Switchin huo ndio uwanja wao.
Upande wa Computer Science kama wewe ni mzuri kidogo au unapenda kuprogram basi usisite,unaweza kuwa Software Eng,programmer,computer analyst,IT engineer,etc .
As i said unaweza kuwa any of the above ukisoma any of the two kwasababu bado kunahitajika experience na higher studies kama masters na proffesional certification.
waatalamu watakusaidia zaidi,ushauri wangu pia achana na hao wanakuletea baf wasifanye usifikie malengo yako.Kila mtu akisoma Baf nani atakuwa doctor,engineer,etc?