Computer Locker

Computer Locker

Good work brother...am developing a forum for Tanzanian developer may I include you kwenye hiyo project
 
Ohhh Nime-release hii program leo karibuni tena:

Summary:
This tool helps you to lock your PC when you don't have to shut it down. You can lock for defined time or resume by entering password.​


Nimeitest kwenye Windows XP na Windows Se7en kama kuna bugs report hapa

Name: OSAS Computer Locker
Version: 3.0.0.0
Size: 1.92MB
Format: .msi
Designed for: MS Windows XP and above

Description:

Hii ni program ya ulinzi kwa ajili ya kompyuta yako. Kwa mfano labda umetoka kidogo na hauoni haja ya kuzima kompyuta yako kwa sababu labda unafanya installation ambayo itachukua muda mrefu kwa hiyo utakachofanya ni kuifunga kwa kutumia OSAS Computer Locker.

Naelewa kabisa kwamba MS Windows inao uwezo wa kufanya kama au zaidi ya hii program lakini sio salama zaidi! em fikiria umesahau password yako ya Windows itakuchukua hatua ndefu sana mpaka kuiponesha komputer yako ukilinganisha na hii program ambayo hautapata usumbufu wa namna hiyo. Hii ndio inaleta faida ya kutumia programu hii badala ya kutumia ile iliyo ndani ya Windows.

Faida nyingine ni kwamba program hii inakupa wigo mpana wa kuifunga kompyuta kwa kutumia njia mbili yakwanza ni "Normal Locker" ambayo itaifunga na utafungua pale unapotaka, njia ya pili ni "Timer Locker" ile ya kufunga kwa muda maalumu ambapo baada ya muda huo itafunguka yenyewe au unaweza kufungua kabla ya muda kuisha.

Download Link: Download OSAS Computer Locker 3.0.0.0 Free - Lock your PC when there is no need to shut it down. - Softpedia

Enjoy!

hongera zako mkuu nina swali nje kidogo ya mada hilo jina la OSAS linamaana gani maana naona kama lakijapan hivi... zaidi ya hapo kula tano..
 
hongera zako mkuu nina swali nje kidogo ya mada hilo jina la OSAS linamaana gani maana naona kama lakijapan hivi... zaidi ya hapo kula tano..

hahahahaha co la kijapani ni kifupisho cha maneno yoyote mazuri it cab be anything haka kama

ONA
SOMA
ANDIKA
SIKILIZA

:smiling:
 
KUTOKANA NA ULIZINZI ULIONGEZWA TOKA WINDOWS 7 mpaka sas WINDOWS 8 hii software ni kama haina umuhimu tena. Ila kwa watumiaji wa XP na Windows Vista mnaweza kuendelea kuitumia.

NIMESITISHA RASMI KUENDELEA NA HII PROJECT ILI KUPISHA NA KUPATA MUDA WA KUTOSHA KUENDELEA NA KAZI MPYA.

Ahasanteni wote mliodownload software hii.... Mungu Awabariki nyote.. Ameen
 
Nimeiaandaa kwa ajili ya MS Windows kama nilivyosema hapo awali nimeitest kwenye MS Win Xp & MS Win 7. Kama wewe ni mtumiaji wa linux nipe muda nijaribu kuandaa twiks ambazo nadhani zitaiwezesha kufanya kazi kwenye Linux. Kuna program zangu nyingine hapa nadhani utazifurahia
Big up mkuu!...nimejaribu kwenye windows 8 imekubali pia!
 
Big up mkuu!...nimejaribu kwenye windows 8 imekubali pia!

oooh kumbe mimi sijawahi kuitumia katika Windows 8 ngoja na mimi niiangalie inavyofanya kazi katika Windows 8
 
Naona karibia kila sehemu inafanya kazi kama ilivyo kusudiwa katika Windows 8 sakasaka ubarikiwe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom