Computer & IT Wiz Naombeni Msaada Haraka!

KasomaJr

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
368
Reaction score
144
Habari zenu wataalamu wa Computer na IT. Nina hitaji msaada wa haraka sana, mtu ambaye andhani ni expert na amebobea kwenye fani hizi ani PM kwa maelezo zaidi. Hakika shida yangu akiifanikisha nitam-reward handsomely.
Mwisho natafuta namba ya "Mtazamaji" nimejaribu kum-pm lakini seem hayupo active kwa muda mrefu au alibadirisha ID yake.
Mwenye contact zake ani PM pia.
Asanteni sana na nina subiri response zenu.
Mdau mwenzenu JF.
 
Hujasema at least briefly tatizo lako ni nini you never know someone might have faced it. And secondly, unatafuta mtu aliebobea "kwenye fani hizi" sihitaji hata kutaja uwanja ulivyo mkubwa. If you could be a bit more brief ungepata msaada zaidi, otherwiseGood luck finding any help
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…