Computer haisomi modem

LIGEDENGE 1

Senior Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
184
Reaction score
29
mwanzo ilikuwa safi,ila kuanzia juzi modem ikichomekwa kwenye port inatoa ishara kuwa imekubali kwa kuwaka taa yake Ila kwenye screen haionekani.tatizo nini wadau? na net sipati
 
Hiyo itakuwa driver imecorrupt so inabidi urestore backup kama ulibackup before au uingize bootable disc ya windows yako halafu ufanye repairing.
 
nashukuru. maana kuna muda meseji ilikuja,ikadai back up,nikakubali. ilipoanza,ikadai nistop antivirus then back up iendelee. nikakataa,nadhani ndio chanzo. ngoja nifanye hivyo ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…