Computer hacks!!

chrisman49

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2011
Posts
352
Reaction score
77
Habari zenu vp wana jf?nafaham hapa kuna wa2 wengi ambao wanajua vi2 vng concerng computer..so as we cud share cuz maisha ndo haya!naomba kujua iv ni njia ipi inawawezesha ma operator kutrap modem hackng?and in what way u cud hack any modem?lets share it jaman kama unajua
 
Kuna jukwaa la science&technology, kule kuna vichwa hatari hili ni tatizo dogo sana. Nakushauri uipeleke huko.
 
Peleka jukwaa husika.Hata hivyo karibu sana.
 
Msome mjue nini kinaenda wapi, mnakurupuka tu, lwako
 
Naona wewe mgeni... inatakiwa kabla hujapost angali post yahusu nini then peleka jukwaa husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…