Computer Engineers and Scientists Please Mje Hapa

Computer Engineers and Scientists Please Mje Hapa

Sasa hii ni kuonyesha elimu yetu iko nyuma sana. itanilazimu kutembelea vyuo vyote kucheki course contents zao. Yaani Rwanda wametushinda hata kwa hili
Wakuu nawapa heshima iliyotukuka kabisa.
Binafsi naelewa sana mchango wenu kwenye huu ulimwengu japo bongo inaonekana mnasinzia sana.
Swali la leo.
1. Chuo gani bongo kinafundisha Artificial Inteligence (AI) and Machine Learning kuna mdau kutoka nchi za duniani huko kaniuliza hilo swali na kaomba nimsaidie kutafuta taarifa.
2. Naweza pata wapi course contents ya hizo course (Mwenye nayo atupie hapa).
Mwisho: Hii ni fursa kubwa sana huenda ikawashukia so tuchangamke kuleta data hapa za kweli.
Karibuni
nenda DIT watu wa computer engineering wanafundishwa ROBOTICS,ARTIFICIAL INTELLIGENCE NADHANI UNAWEZA ANZIA HAPO
 
Back
Top Bottom