Dili kwa upande upi ? Kama ni ajira zote hizo ni sawa , ajira zinapotangazwa iwe qualification wanazohitaji huwa ni sawa either uwe umesoma CE or CS.
CE inaenda 4 years na CS ni 3 years.
Ujuzi wa vitu ndo muhimu zaidi kwenye hizi course maana demand yake ni matokeo na si kumeza vitini.
All in all CE na CS bado zina dili kubwa tu africa na hata world wide, kama unaenda kusoma kakomae tu umalize kwanza utachagua wewe miaka 3 au 4 ila kazini mtahitajika pamoja.