Computer engineering inafanyaje kazi Tanzania? Projects gani imefanya?

Petabyte186

Member
Jul 10, 2017
91
37
Habari wana JF.
Natakuwa kujuwa vp computer engineer tanzania inafanya kazi sehemu zipi.?
Na napenda kujuwa idadi au projects zilizofanywa na computer engineers Katika Universities tofauti za Tanzania.

Naombeni msada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sehemu ya kuanzia ni maonyesho ya vyuo vikuu na workshorps za ma-engineer. Kuna platforms za wahandisi wa kike na young engineers wengine. Tafuta contacts za wanafunzi wa mwaka wa mwisho vyuon wao wanaweza kujua mambo hayo yanafanyika wapi na lini.

Pia waweza ukahudhuria 'Final Year Project Presentations' ambazo kwa vyuo vingi zinafanyika kati ya May-June. Hivyo kama unaweza kupata contacts za wanafunzi vyuoni itakuwa rahisi zaidi.
 
Habari wana JF.
Natakuwa kujuwa vp computer engineer tanzania inafanya kazi sehemu zipi.?
Na napenda kujuwa idadi au projects zilizofanywa na computer engineers Katika Universities tofauti za Tanzania.

Naombeni msada.

Sent using Jamii Forums mobile app
Industry ya ICT kwa Tanzania bado ni changa sana na hivyo bado haina specialization kubwa mahali pa kazi. Si ajabu kukuta mtu aliyesomea Telecommunications Eng. akawa web designer (au akaambiwa adesign web). Hata hivyo Computer Engineering inapaswa kuegemea kwenye maintenance, upgrade, design na programming(low-level) ya Computer Hardware.

So project zao zina mrengo wa hardware automation, sensing, alarm systems, communications,etc. Kazi zaweza kuwa Network Design, Network Installation, Network Administration, Telecommunications, etc.
 
Kuna madai kwamba Prof. Luhanga aliwahi kutengeneza network ya kuwasiliana lakini kwa eneo dogo, wakati huo akilenga kufanikisha mawasiliano ndani ya Main Campus ya UDSM, akiwa na lengo la kufanya expansion kucover eneo kubwa kama nchi, na kuendelea. Sijui hiyo project iliishia wapi!
 
Industry ya ICT kwa Tanzania bado ni changa sana na hivyo bado haina specialization kubwa mahali pa kazi. Si ajabu kukuta mtu aliyesomea Telecommunications Eng. akawa web designer (au akaambiwa adesign web). Hata hivyo Computer Engineering inapaswa kuegemea kwenye maintenance, upgrade, design na programming(low-level) ya Computer Hardware.

So project zao zina mrengo wa hardware automation, sensing, alarm systems, communications,etc. Kazi zaweza kuwa Network Design, Network Installation, Network Administration, Telecommunications, etc.
Well said,hii course ni pana kidogo kuliko computer science, utasoma automation & robotics,utasoma software development,utasoma network utasoma graphics yani ni pana mno so ni wewe kuchagua ustick sehem gani manake nchini mwetu hatuna sehem maalum ya kuapply those knowledge ndo maana kwenye soko la ajira aliesoma comp eng,comp science,IT,ICT are groupes as one.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom