resonanceiduufu
Senior Member
- Jul 29, 2016
- 112
- 62
Laptop yangu inaniandikia "Media test failure, Insert boot disk"" na maneno mengine mengi, tafadhali naomba msaada, ni ACER used nimenunua miezi 3 ilopita. Tatizo limedumu tangia jioni hii.
Kama kuna kitu chochote umechomeka mfano flash disk au external kichomoe then i restart ikigoma bas nadhani shida itakuwa hard disk yako itakuwa na error au shida check kwenye bios kama inasomaLaptop yangu inaniandikia "Media test failure, Insert boot disk"" na maneno mengine mengi, tafadhali naomba msaada, ni ACER used nimenunua miezi 3 ilopita. Tatizo limedumu tangia jioni hii.