Computer 32- bit operating system na computer 64- bit operating sytem

Mkuu, nina shida moja? Nawezaje kuremove Administration Password ktk Pc, windows 10.
 
Naona imeandika window 7 ultimate 32bits(6.1, build 7600) sijaelewa sasa.
Kuna makampuni kadhaa yanayotengeneza "software" mama inayotoa mandhari ya inayosaidia kuendesha kompyuta, hiyo software mama huitwa "OS" ama "Operating System".

Moja ya kampuni hiyo ni Microsoft ya bwana Bill Gates, na software yake mama huitwa Windows.

Kuna matoleo kadhaa ya windows, hivyo mojawapo ya matoleo hayo ni Windows 7. Na kila toleo la window mathalani hiyo 7, huja na makundi madogo tofauti tofauti kulingana na matumizi na uwepo wa aina tofauti za hardware katika kompyuta.

Mathalani windows 7 pekee ina matoleo madogo madogo 6, Win 7 ultimate ni mojawapo.

(6.1 build 7600) hii ina maelezo mengine nahisi nitakumiksi tu...
 
Ahh sawa mkuu itabidi niingie darasani aisee
 


Piga windows upya.
 
Cha kufanya ni kuremove CMOS pindi unapoiwasha kumputer yako
 
Pumbavu sana, mnajua vitu lakini kuanzisha nyuzi hamtaki. [emoji3525][emoji3525]
 
Safi,, kazi yangu ni kusoma tu maswali na majibu
Kisha navifanyia kazi katika pc yangu HP 6930P
maswali yatakuja baada ya kuperuzii
 
Sisi tunaingia darasani kimyakimya JF ni kisima cha maarifa.[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
Safi,, kazi yangu ni kusoma tu maswali na majibu
Kisha navifanyia kazi katika pc yangu HP 6930P
maswali yatakuja baada ya kuperuzii
 
Cha kufanya ni kuremove CMOS pindi unapoiwasha kumputer yako
hapana hajasema BIOS mkuu na na si PC zote zinaweza hvyo
ni password ya window ndo maana hawezi kuweka proglam zingine
chakufanya aweke tu window upya
 
Mkuu unajua maana ya neno window bypassing?

Kuna software za kuremove window password.

Katika password kuna window password na Bios password so tunatakiwa tuzifahamu hizi sio kukimbilia kuweka OS upya wakati kuna possibility ya kubyapass window password bila kupoteza data zako.

Over!!!
hapana hajasema BIOS mkuu na na si PC zote zinaweza hvyo
ni password ya window ndo maana hawezi kuweka proglam zingine
chakufanya aweke tu window upya
 
Piga windows upya.
Hamna haja kupiga windows chini kama ni windows password. Kama ana installation cd au booable os flash disk anaweza reset password kwa kutengeneza account nyingine ya admin kwenye cmd kisha akaingia ktk hiyo admin account mpya na kureset password ktk admin account nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…