rainy forest
Member
- Sep 15, 2014
- 91
- 41
Inatakiwa busara kuweza kuishi na watu jifunze kupotezea hasa kama umeshagundua kuwa sababu za ugomvi ni za kijinga ..usikubali kuwa mjinga kila siku jitoe katika hilo kundi wewe binafsi waeleweshe wenzio ,wafundishe upendo: ambapo tunaambiwa ...[TABLE="width: 90%"]
[TR]
[TD]Mwenye upendo huvumilia, hufadhili; mwenye upendo hana wivu, hajidai, wala hajivuni.[TABLE="width: 90%"]
[TR]
[TD]Mwenye upendo hakosi adabu, hatafuti faida yake binafsi, wala hana wepesi wa hasira; haweki kumbukumbu ya mabaya,[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]hafurahii uovu, bali hufurahia ukweli.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwenye upendo huvumilia yote, huamini yote, na hustahimili yote..[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
ombeaneni hilo pepo la magomvi likimbie
Inatakiwa busara kuweza
kuishi na watu jifunze kupotezea hasa kama umeshagundua kuwa sababu za
ugomvi ni za kijinga ..usikubali kuwa mjinga kila siku jitoe katika hilo
kundi wewe binafsi waeleweshe wenzio ,wafundishe upendo: ambapo
tunaambiwa ...[TABLE="width: 90%"]
[TR]
[TD]Mwenye upendo huvumilia, hufadhili; mwenye upendo hana wivu,
hajidai, wala hajivuni.[TABLE="width: 90%"]
[TR]
[TD]Mwenye upendo hakosi adabu, hatafuti faida yake binafsi, wala hana
wepesi wa hasira; haweki kumbukumbu ya mabaya,[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]hafurahii uovu, bali hufurahia ukweli.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwenye upendo huvumilia yote, huamini yote, na hustahimili yote..
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
ombeaneni hilo pepo la magomvi likimbie
Nianze kwa kukiri kwamba sina nia ya kuhukumu manake hakuna msafi kati yetu. Lakini pia napenda tu niseme hili ili kama kuna aliyekusudiwa kupona basi apone.
Kuna hizi famila ambazo siku hizi wanaziita blended family maana yake familia iliyochanganywa. Imechanganywa watoto hasa hasa. Unakuta baba kabla ya kuoa alisha wahi kuwa na mtoto/watoto ama mama kabla ya kuolewa alisha wah kuwa na mtoto/watoto. Halafu kwa makubaliano yao (wazazi) wkaamua kuunda familia moja yenye watoto mchanganyiko wa upande tunashea baba upande tunashea mama.
Kwa experience yangu hizi familia ni matatizo sana hasa watoto wanapokuwa wakubwa. Achilia mbali wakiwa wadogo wapo watakao lalamika kuteswa na mzazi asokuwa wake lakini ukubwani hali huwa mbaya zaidi. Nimeangalia familia nyingi ambazo nazifahamu hili limekuwa ni tatizo na cha ajabu zaid ni tatizo kwenye umri wa utu uzima. Maugomvi ya kila siku, kesi kila iitwapo leo, wakikutana utafikiri wamekutana kwa amani lkin baada ya muda kidogo ni vita yaani familia inageuka Gaza. Alafu sababu zenyewe za ugomvi nyingine unazikuta ni za kitoto kama sio za kijinga.
Wenzangu nyie mmewah kuona familia za aina hii?
Kama ni familia yako wewe huwa unafanyaje?
Binafsi mie nimechoka.
Unakuta mtoto kwa baba wako sita kwa mama wapo wanne...lakini yeye yupo alone...very lonely for some...
sijui kwenye kupewa urithi huwa inakuwaje hapo?
Ufafanuzi kiducho nani yuko alone.
Katika vitu ambavyo am praying vipishe mbali ni haya ya kuzaa watoto mchanganyiko.rainy forest,
Ni vitu ambavyo vipo wakati mwingine nakuelewa sababu kuna wakati nilikua hapo 'walk away frm troubles if you can' jiulize kwanini hadi leo Israel na Palestina wanagombana?utapata jibu kumbuka wale nao ni blended family kwahiyo sio nyie wenyewe...jifunzie hapo wewe binafsi omba Mungu akusaidie usije rudia makosa ya wazazi..watoto wako wasijepitia hiyo xperience binafsi siipendi.
Unakuta mtoto kwa baba wako sita kwa mama wapo wanne...lakini yeye yupo alone...very lonely for some...