Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 51,991
- 69,384
Basi sawa
Fanya kaziAsali iko wapi?
Nimeipenda hii reply ya saa nane usiku wa manane! hhahahahahahahahahahaahUkilazimisha ushuzi, mwisho utajinyea....
Nimaneno ya wahenga hayo
Haijamuacha salama...
sio kwa kula huko
Huyu ndo muhenga aliyesema hakuna mkate mgumu mbele ya chaii...
Hahaha jamani mikate yote hiyo na ndoo ya chai sio kweli bana
Haaahahahaaa....mtakuja kutuua aise..
Bhangi haiongopi ujueHahaha jamani mikate yote hiyo na ndoo ya chai sio kweli bana
Shikamooo ...ndo midaa ee
Anachukua likizo ya kwenda chooni
mwache uyo saa hii anaota, wee twenzetuShikamooo ...ndo midaa ee
Cc saint ivuga