July Fourth
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 2,240
- 795
Mimi najiandaa kujiunga na Zanteli, ili nipate hizo 600MB kwa Tsh. 4000. Je vipi speed?
kuna mb 150 kwa buku jero..zantel mwezi
Mimi najiandaa kujiunga na Zanteli, ili nipate hizo 600MB kwa Tsh. 4000. Je vipi speed?
kwa watumiaji wakubwa na prefer vodacom wenye bomba 7 na bomba 30 unlimited
lakini kwa hapo vyote ghari kwelikweli
wanoitaji window 8 ninayo maelewano
na Office 2013 pia ipo maelewano
kuna mb 150 kwa buku jero..zantel mwezi
kwa watumiaji wakubwa na prefer vodacom wenye bomba 7 na bomba 30 unlimited
lakini kwa hapo vyote ghari kwelikweli
wanoitaji window 8 ninayo maelewano
na Office 2013 pia ipo maelewano
weka link wewe... Huwa hatununui
Ntaweka link ambayo haipo ndugu
ukinunua unapewa linki ambayo hata nikupa haisadii mpaka uwe na code
nenda microsoft.com then nunua utapata kila kitu.
humu tunagawa bure hatutaki pesa hebu pitia thread nyingne nimeweka uzi huu