Compare and Contrast these...

Compare and Contrast these...

Ta Muganyizi

R I P
Joined
Oct 19, 2010
Posts
5,355
Reaction score
2,741
kitu mugabe.jpg kitu pinda.jpg


Robert_Mugabe.jpg mizengo+pinda.jpg

Pale juu kama wamenuna vile lakini hapa chini walau wana mapozi. Mmoja ni Rais na Mwingine ni Rais Mtarajiwa. Wataalam wa siasa.........tukiacha kufanana kwa sura hebu nisaidieni kuchambua uwezo wao wa kiuongozi.
 
Mmoja ni Pinda na mwingine ni Mugabe. Mfanano wao ni kwamba wote ni viongozi maarufu Africa
 
Mugabe kavaa tai kwenye picha zote ilhali pinda kavaa tai kwenye picha moja tu
 
Kwenye picha za juu wote wameonesha meno wakati picha za chini hawajaonesha meno
 
Picha ya juu Pinda kanyoosha kidole kimoja ilhali Mugabe hajanyoosha
 
Picha za Mugabe zina maua maua kwenye background ilhali ya Pinda haina
 
Picha za kwanza pinda inaonekana anataka au ametoka kulia maana macho mekundu ilihali Mugabe japo kavaa mawani macho ni kawaida tu
 
Back
Top Bottom