huyu pinda ni mtoto wa mugabe...?
Mbona utakoma na huu uchambuzi........najuuuuuta kuwafahamu watu wa JF..........
mugabe atleast picha no2 katabasamu pinda tabasam lake analionaga Tunu pekee
Mugabe kavaa tai kwenye picha zote ilhali pinda kavaa tai kwenye picha moja tu
picha nyingi za pinda anakuwa anaonekana kama mhuni-mhuni fulani.
Picha za Mugabe zina maua maua kwenye background ilhali ya Pinda haina
Kazi unafanya sa ngapi.....mheshimiwa mbona kila mahali upo