COMPARE AND CONTRAST: CCM vs CHADEMA: For rethinking our fate

COMPARE AND CONTRAST: CCM vs CHADEMA: For rethinking our fate

Kwi kwi kwi inaelekea mtabiri maarufu Afrika, Sheikh Yahya Hussein, alikuachia mikoba yake. Na MACCM pamoja na madudu yote haya shilingi kushuka thamani katika miaka kumi toka T. Shs 1,169 mpaka 2,000 na deni la Taifa kuongezeka toka Trilioni 10 na kufikia Trilioni 40 imeshapoteza Wabunge wangapi!?

BAK CCM imepoteza serikali yote, wabune wote na madiwani wote

its up to us to go and get what belongs to Tanzanians.......CCM wakiingia tena ikulu ni serious failure au weakness ya upinzani. uko sahihi kabisa hao CDM kupoteza viti ni uzembe wao na kutojipanga. Taasisi inasumbuka kupigana na ka individual, waberoya yuko hapa kuwaamsha nothing less nothing more
 
Waberoya, hebu jaribu kupitia uliyoyaandika kwa utulivu na kufanya editing ikibidi, huo uandishi wako leaves a lot to be desired. Pamoja na hilo naomba pia uwe makini kidogo unapotoa madai hata kama ni ya kipuuzi...yapakepake rangi yavutie ili angalau yaonekane yanatoka kwa msomi hata kama chuo chenyewe ndicho hicho chetu. FYI Chadema iliasisiwa 1992 lakini haikuteua mgombea Uraisi hadi mwaka 2005. Hayo madai mengine kusema kweli sidhani kama yanahitaji hata response...

Umesikika mkuu nashukuru
 
Wote ni wamama CCM ilizaa CCJ chadema ikazaa ACT
Mtoo wa CCM alifariki miaka 4 ilyopita wakati wa chadema Ana mwaka mmoja tangu azaliwe na yuko hai na ana afya nzuri kweli kweli
 
Pumba tupu! CCM hawana la maana hata moja zaidi ya kufanya maisha kuwa magumu. Deni la taifa n takribani trilion 40,exchange rate ni 1$=2000 plus Tsh.
Jikumbushe haya pia.
1.Madai ya walimu
2.migogoro ya wakulima na wafugaji.
3.migomo ya madereva na madaktari.
4.Ufisadi.
5.Hali ya umaskini
6.Madawa ya kulevya ni janga.
7.Ujangili ni wimbo ambao umezoeleka.
8. Ukosefu wa ajira(wengine wanaita bomu).
9. Rushwa nk
 
Naaaaaa! It is because our elections are not free and fair.

Back
Top Bottom