COMPARE AND CONTRAST: CCM vs CHADEMA: For rethinking our fate

COMPARE AND CONTRAST: CCM vs CHADEMA: For rethinking our fate

Waberoya

Platinum Member
Joined
Aug 3, 2008
Posts
15,157
Reaction score
10,828
WANACHAMA WAKE

Wanachama wa CCM wako tayari kukubali chochote kitakachosemwa na Mwenye kiti wao, kuunga mkono chochote pasi kuuliza wala kujiuliza kwa manufaa ya nchi: wanachama hawa mara nyingi wana mihemko ila watulivu, lakini wakali sana hata wanaweza kutumia silaha wakichokozwa
Wanachama wa CDM wako tayari kukubali chochote kitakachosemwa na Mbowe, hata kama ni cha kuua chama au familia zao wala hawajiulizi ubora: wanachama hawa mara nyingi wana mihemko na wanajazba , wakali sana huwa wanaweza kutumia silaha wakichokozwa, na wanaweza kuua maadui zao na wanapenda kuwabana korodani

UZUSHI

Wanachama wa CCM wako tayari kuzusha mambo mabaya ya kuharibu taifa, walikizushia chadema ni chama cha watu wa BOT, walikizushia NCCR ni chama cha usalama wa taifa, wakazusha CUF ni chama cha kidini!. Mwenyekiti wao wa kwanza wa chama waliishawahi kuwazushia akina Kambona kuwa ni wasaliti, akamtenga Jumbe amliyekuwa na mawazo tofauti na akamtenga Zuberi Mtemvu huku akimnanga mbele ya watu, ila akikaa naye faragha anambembeleza arudi TANU. Zuberi aliona Nyerere msaliti kwani nchi aliigawa kwa wazungu, ngali Zuberi hakutaka ukaribu na wazungu. TANU waliita ANC( chama cha zuberi Mtemvu) ni wasaliti wakati ANC iliiona TANU haiko serious na ukombozi halisi

Wanachama wa chadema ni wazushi zaidi ya wale wa CCM, wakijifunza mbinu na njia laghai za CCM> Chadema kilizusha CUF ni chama cha Mashoga na kuwa ni CCM B, ikazusha NCCR ni CCM B, mara mbatia alipoteuliwa kuwa mbunge wa Kikwete. Leo wanazusha ACT ni chama cha usalama wa taifa ni wasaliti, Mbowe akazusha na kutunga hekaya za uongo juu ya Zitto kwani aliona misimamo ya zitto inapingana na matakwa yake. Mbowe akawaita majina kama hayo akina chacha wangwe pia. CDM inaona ACCT kama wasaliti, ila ACT inaona CDM haiko serious na ukombozi wa taifa hili


KURIDHIKA NA MAENDELEO

Inachekesha kuona kuwa wana CCM anaona maendelea yaliyopo nchini yanaridhisha na yanaendana kabisa na umri wa taifa, wanasema CCM ndio imeleta haya yote! taifa lina miaka 50..maendeleo ya taifa hayalingani na umeri wake
Inafurahisha kuona kuwa wanachama wa chadema wanaridhika na idadi ya wabunge kwa kisingizio cha Mbowe ndio kafanikisha hayo! bila kujali au kujua cdm ina miaka karibu 25...idadi ya wabunge hailingani na ukubwa wa chama


IDEOLOGY ZA UONGOZI

Msingi wa Ideology za mwenye kiti wa kwanza wa CCM na wengine waliofuatia ni dhana zao ( mbaya au nzuri katika kuongoza vyama vya)....viongozi wa CCM wanapata utajiri wakiishashika madaraka ha ha ha

Msingi wa Ideology za mwenyekiti wa CHADEMA ni fedha! kila akipangacho, akifanyacho ni kutaka fedha tu: mwenyekiti wa chadema ni tajiri ana nyumba mpaka Dubai na south africa. Huna hela chadema kama wewe sio tajiri utasambaza kadi mpaka miguu iote matege

KOO ZA UONGOZI

Japo CCM mtu yeyote anaweza kuwa kiongozi na akafikia hatua za juu, bado kuwa unatokea ukoo fulani au familia fulani unapewa uzito wa juu mno. kwa mtu wa kwaida kujikomba na kulamba vyatu vya wakuu lazima iwe tecknik yako ya kufikia unapotaka. Ukiweza kuwa kimada upate ukuu wa wilaya haraka au funga kamba za viatu vya the Prince!

Chadema, iko tofauti, kupata cheo lazima uwe mkwe ( kama Mbowe na Mtei), au dada kama Lissu, au shemeji, ukiweza kuwa kimada wa mtu; kama umeenda pale na njaa zako fuata kila asemacho Mbowe, hata kama hakina mantiki wala haikiingia akilini, wewe fuata tu, fuata asemacho ndensamburo au komu!! ndio si umetaka mwenyewe kwan tatizo nini? kubaliana nao kwa kila kitu hata pale unapoona sio kweli

UKOMO WA UONGOZI

CCM wanatamani kuongeza muda wa kupiga kura, iondolewe madarakani, Nyerere alikaa muda akaona aondoke mwenyewe, baadae CCM wakaona utaratibu wa miaka 10 ukomo wa uenyekiti ni mzuri na unafaa sana; kwa hili wamejitahidi sana. Japo matajiri wanakiharibu chama, na biashara zao; matajiri ndio wanawaweka marais madarakani na kuwatumia!

Chadema walianza vizuri, ila marehemu Bib makani ( shemeji wa Mtei) hakuwa na msingi mzuri wa kifedha hivyo kumtunza Mtei ikawa ngumu. Mbowe ( mkwe wa mtei) ameweza kwa namna moja kuongeza turnover ya chama na Mtei anaona kabisa hakunaga , hivyo Mbowe kuachia madaraka..kuachia zile fedha za ruzuku sio RAHISI kabisa ....atatumia ulagha wote, uchafu wote, faulo zote. Mbowe is just a nigger ana mijihela kama Mayweather!! ukiachilia ulukuki wa biashara za haa mjini anazozifanya, haieleweki mwana CDM atakayekuwa ikulu atakuwa anampelekea Mbowe sh ngapi??

KUZAA WATOTO

Tofauti ya Nyerer na Mtei ikazaa chadema, nyerere na kambona, fundikira, mapalala n.k ika zaa vyama vingine vingi, infact kaibu vyama vyote vya 90S VILIANZISHWA kwa kutofautiana mitazamo. hata baadae akina Slaa walipohama CCM ni kwa sababu ya utofauti. CCM majuzi walitaka kumzaa CCJ lakini kwa bahati wakafanya abortion ya ile mimba wakati kitoto kinapiga mateke; They were brilliant, ila CCM kuonyesha kuwa ni wakomavu watoto watundu wote akina Nape na sitta wakapenwa uongozi na kutulizwa wapi CCJ??

CHADEMA hakijioni kama kimekua , kikiwa na miaka 23 kimeisha balehe tayari, kimejichanganya na kuzaa mtoto wao anaitwa ACT......wakati na dalili zote za uja uzito waliziona na wakakataa mimba eti wathibitishe kama yao au siyo yao! mtoto kazaliwa ana rangi ya purple, mtoto aliyetokana na kushindwa kutatua migogoro yao ya ndani ! leo wanakana na kuruka eti kitoto hiki ACT sio chao, hawakijui huku kuna kila dalili ya kushabihiana kwao na hta watu wa ndani mwao chadema wanaenda kukitu za na kukipaka manukato kama mama jusi, hali Herode ( Mbowe akijua kuwa unabii umetimia na huyu ACT anaelekea kupendwa sana kuliko yeye) anawatumia akina Limbu wakiue! wakitangaze vibaya. kadiri anavyokinangaza vibaya na kuzusha uzushi wote wanaishiwa la kusema na kubakiza kusema ACT ni chama cha mbowe!

MISSIONS

CCM ina mission nyingi za ajabu kwa sababu hawana maarifa! mkurabita, mkukuta, BRN, n.k ni kutokuwa na ideology stable ya kuisimamia au mipango endelevu

CDM ina mission za kupiga kelele sawa na CCM, haina ideology ya kuisimamia, ni chama cha matukio chama ambacho hakisaidii wananchi, kabla ila kinasubiri wagome kwanza ndio watokee!

ASILIMIA ZA AKILI

Karibu salimia 90 za wana CCM ni wafuata mkumbo na wananjaa kali mno, hawatumiii akili na kwao mlo mmoja unatosha kugeuza akili zao. Ni asilimia 10 tu wanajitambua vizuri na wako CCM wakiamini mabadiliko yatatokea

Karibu salimia 99 za wana CDM ni wafuata mkumbo na wananjaa kali mno, hawatumiaa akili na kwao mlo mmoja unatosha kugeuza akili zao. Ni asilimia 1 tu wanajitambua vizuri na wako CDM wakiamini mabadiliko yanaweza kutokea, ila mabadiliko hayo ni mtu akifa tu! na sio eti uchaguzi ufanyike washinde. wengi wa hii asilimia 1 wanaumia na kujikaza kisabuni na kutegemea mambo mazuri tu.

PRESIDENTIAL MATERIALS

CCM wana watu wengi ambao wanaweza kuwa viongozi wazuri-kwa nafasi ya urais, ila tatizo hawawezi kupita kwenye chaguzi za awali na sio rahisi kupata nafasi
CDM hawana wana watu wengi ambao wanaweza kuwa viongozi wazuri-kwa nafasi ya urais; hilo wamethibitisha hivi majuzi walipounda UKAWA nafasi tu za mawaziri viongozi walikosa watu. Slaa anaweza kuwa kiongozi mzuri, ila aina ya mwanamke aliyenaye anaweza kumuua wiki chache slaa akiwa rais! ili apate mshiko. Unajua kwa sababu kila mtu huku kaenda KUPIGA hela mpaka mahusiano ya hawa watu yako mashakani kwani wenzi wao wanaweza kuwageuka ili wapate mahela, kama movie za kijambazi zile na BANK HEIST

MAKUNDI

CCM ina makundi mengi, makubwa, na mengine ni mahasimu hata kuka meza moja kula hawawezi

CDM vikundi vyote ni vya siri, kikiwamo cha slaa, ndesa, komu..nk. ila kinachojulikana ni cha mbowe.....UKIONEKANA na kakundi kengine, utatafutwa utatengwa, utanyanyaswa na pona yako ni kuwaingiza kuku wa mbowe bandani!!


MALIZIA
Yako mengi...mengine malizia
 
Do .. Hahaaa haaa nimependa sana hapo pakuzaa katoto ka PAPO . Katoto kamezaliwa juzi kanajua hadi kutembea na kutongoza kanaitaka nafasi ya baba na mama
 
Do .. Hahaaa haaa nimependa sana hapo pakuzaa katoto ka PAPO . Katoto kamezaliwa juzi kanajua hadi kutembea na kutongoza kanaitaka nafasi ya baba na mama

hee mkuu, CDM walipoanza tu mbona waligombea urais? NCCR ya mrema je 1995 wakumbuka weye?
 
ASiasa za uzalendo zimeisha sasa mmeamia kwenye hekaya.

Sio mbaya unaweza kuwa mwandishi mzuri wa mashairi kama sio mtunzi wa hadithi kwenye yale magazeti yetu ya udaku.
 
nimeipenda hii kuvaa gwanda sio dili tena unaweza kupata fangasi na joto ili ila kuvaa uzalendo. hapo nimekupata
 
Compare anda Contrast kati ya Zitto/ACT na CCM.

1. CCM/Kikwete tuna majina ya wauza Unga.... Zitto/ACT nina majina ya walioficha Mabilioni USWISI. Miaka inaenda orodha imebaki kuwa siri.

2. Sera ya Ujamaa. Wote wanaamini katika Ujamaa wa maneno. Huku CCM imejaa mabepari. Zitto ana vitalu vya Gesi.

3. Ufisadi/Unafiki. Zitto ni mtuhumiwa wa ESCROW. Ili kujilinda akamshawishi Spika apewe kamati ili kujificha.

4. Uchawi. Zitto mshirikina sana, akiwatembeza kina Saanane mpaka ziwa Tanganyika. CCM mikutano bila fisi haiendi.

Itaendelea.......
 
Mbona umepotea sana Waberoya,unajua member kama wewe ukipotea muda mrefu tunawaza negative!!!!hahaaaa,habari yako!

Nipo ndugu, sana tu, ila hoja hamna tena humu vimebaki vijembe na makombora!! tujaribu kurudisha hadhi ile ya kipindi kile
 
Compare anda Contrast kati ya Zitto/ACT na CCM.

1. CCM/Kikwete tuna majina ya wauza Unga.... Zitto/ACT nina majina ya walioficha Mabilioni USWISI. Miaka inaenda orodha imebaki kuwa siri.

Unajua kinachoendelea kuhusu yale majina? ulitaka zitto ataje kama nani? kuna wenye fedha uswis ambao wanazo kihalali ukiweka publick ni makosa, ila kuna fedha chafu, ni kazi ya mamlaka kuchunguza na kuyataja.....mbona juzi kati imegundulika hivyo

Mabilioni yaliyofichwa Uswisi kutaifishwa. | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today
Home

.

zitto aliishamaliza kazi tena ya kutukuka?

hivi chenge aliyesema ana vijisent ulitaka naye zitto amtaje?? mchukieni tu ila ukweli ndio huo


2. Sera ya Ujamaa. Wote wanaamini katika Ujamaa wa maneno. Huku CCM imejaa mabepari. Zitto ana vitalu vya Gesi..

kuna ujamaa wa aina nyingi, you need to go back to school



3. Ufisadi/Unafiki. Zitto ni mtuhumiwa wa ESCROW. Ili kujilinda akamshawishi Spika apewe kamati ili kujificha..

PAC ilikuwapo siku zote hata kabla ya escrow! ukimweleza mhongo, tibaijuka, ngeleja n.k wangepigana kufa na kupona kumu expose zitto kama alihusika; kuwa mkweli tu mkuu


4. Uchawi. Zitto mshirikina sana, akiwatembeza kina Saanane mpaka ziwa Tanganyika. CCM mikutano bila fisi haiendi.

Itaendelea.......

Umevuka mipaka ya ubinadamu, hoja zimeisha?? ulijuaje hayo kama na wewe sio mshirikina??
 
Kwi kwi kwi inaelekea mtabiri maarufu Afrika, Sheikh Yahya Hussein, alikuachia mikoba yake. Na MACCM pamoja na madudu yote haya shilingi kushuka thamani katika miaka kumi toka T. Shs 1,169 mpaka 2,000 na deni la Taifa kuongezeka toka Trilioni 10 na kufikia Trilioni 40 imeshapoteza Wabunge wangapi!?

wewe ndio umemaliza

mpaka sasa CDM ishapoteza viti 7 vya ubunge unalijua hilo? jua kwanza hili usisubiri october
 
Waberoya, hebu jaribu kupitia uliyoyaandika kwa utulivu na kufanya editing ikibidi, huo uandishi wako leaves a lot to be desired. Pamoja na hilo naomba pia uwe makini kidogo unapotoa madai hata kama ni ya kipuuzi...yapakepake rangi yavutie ili angalau yaonekane yanatoka kwa msomi hata kama chuo chenyewe ndicho hicho chetu. FYI Chadema iliasisiwa 1992 lakini haikuteua mgombea Uraisi hadi mwaka 2005. Hayo madai mengine kusema kweli sidhani kama yanahitaji hata response...
 
Mbowe hafai hata kuwa mwenyekiti wa kijiji,makengeza yake yake anafaa kuwa Mganga wa kienyeji
 
Back
Top Bottom