Mi naona bora ununue hizo za company nyingine tu ambazo hazipasuki vioo vyake.
Habari zenu wote wanajf naomba nieleweshwe juu ya company hii Simu zake asilimia kubwa vioo vyake (screen) mbona hupasuka sana ni rafiki zangu wengi wanazo na screen zao wote zimepasuka aidha kipande kidogo au michirizi na tofauti na company zingine sasa cjui matunzo ni hafifu au company inachakachua screen naomba Kuwasilisha kwa wataalam mnisaidie nijue

Kama unataka simu isiyopasuka kioo nunua iphone
hata utumie nyundo haipasuki ?
Hapo utakuwa unapasua, hapa nazungumzia ambayo haipasuki
hivi ukiiweka tu itapasuka ?
Hapana bali ikidondoka
tatizo ni matunzo watu wanaangusha simu sana ndio maana nyingi zinapasuka kioo