COMPANY EMAILS WITH Co.tz

COMPANY EMAILS WITH Co.tz

nenda kwa IT wa ofisi yenu ambayo ina website ya .co.tz

KAMA HAMNA WEBSITE (eg. www.xxx.co.tz) SIDHANI KAMA ITAWEZEKANA KUFUNGUA EMAIL.
 
Inawezekana tena simple tu.

Just sajili Domain yako, kisha utainganisha na google ambapo emails zinakuja kupitia google lakini kwa kutumia .co.tz
 
Anza na kununua iyo domain name ya fulanihospital.co.tz kupitia moja kati ya hawa registrars wanaotambulika na TzNIC (Nimewahi nunua kupitia kilihost.

Ukikamilisha kununua domain name, nenda kwa web hosting service yako kwa mfano huyo uliemtaja Hotmonster (japo hata katika website yao sioni mchanganuo wao wa features wanazotoa ikiwemo email hosting). Ukiweza tumia Godaddy Hosting (Wanaplan nzuri unayoweza kuhost emails na features za kutosha, au unaweza kutumia wengine unaowafaham).

Ukikwama usisite kunicheck pm au email dev@musa.one

Habarini za Humu

Hivi nawezaje kufungua Company Email kwenye Hotmonster ambayo itakuwa inaishia na co.tz

mfano! IT@fulanihospital.co.tz
 
You can't forward emails bila website yenyewe, unatakiwa uwe na ownership ya website yenye domain extension of ".co.tz"
 
Back
Top Bottom