simba45 mkali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,980
- 1,881
Mnajitaidi kuficha aibu lakini hapa mtu mzima kaibika na hii ndio gharama ya kula kharamu. Teh teh teh eeeYupo mstari wa pili ambapo mstari wa mbele ndipo alipo mgeni wa heshima. Hiyo ni nafasi ya kawaida sana kwenye mualiko wa viongozi wengi.
Wakati Mh Magufuli na Samia wakiapishwa Kagame na Zuma nao walikaa mstari wa nyuma kama alipokaa Mh Sheni.
Kweli ukawa mmeishiwa hoja kwa kasi sana. Hivi hii nafasi aliyokaa Mh Shen nayo imewashughurisha bila aibu.
Nadhani itakuwa edited haiwezekani muakilishi kawekwa kwenye machuma kama yupo korokoroni. teh teh teheeHii picha sio editing kweli?
Hahahahaaaaa hiii hatareeHuyo ni mkuu wa mkoa wa Zanzibar, hadi bodyguard anamshangaa.
HahahahaaaLabda ilikuwa ni sehemu salama zaidi kwa rais kukaaa! Ngoja wana usalama waje na majibu...
Hahahaha, umenichekesha sana.Wamefanya hivyo wakijua kuwa huyo katumwa tu Yaani katumwa kama balozi ndiyo maana katupwa kule nyuma kwenye kunguni
Du!! Hiyo kali mkuu umenena! Kaingia ikulu Ki-Haramu hiyo ni salamu toka comoro.Akae huko nyuma na wauza karanga
katupwa nyuma kabsa kule walipokaa madiwani toka makunduchi.Hahahaha, umenichekesha sana.
Katupwa wapi huyu Diwani wa mchambawima?
Hii ndio mifumo chonganishi na kharamu zilizowekwa na ccm. Ndio maana wazanzibar wanalilia mamlaka kamili lakini wachumia tumbo kama hao walioaibishwa hawaoni hilo wenyewe wanajali mamlaka badala ya heshima ya nchi yao.Kwanini amuwakilishe rais Magufuli wakati na yeye ni rais alitakiwa kuwa na mwaliko wake binafsi! Inakuwaje rais amuwakilishe rais?
Tungo tatanishi jiongeze kuelewa."Baka bencha'
Hahahahaaa akili za baadhi ya wana ccm ni kama mfu..kitu gani umeandika aibu tupu na bure kabisa.Bashe kasema alichokiamini yeye na sijui nini kipo nyuma yake kwani misimamo yake kabla ya uchaguzi alikuwa upande gani wewe na wananchi wote mnajua. Vyombo vya habari ambavyo yeye ni sehemu ya uongozi wake nayo unayajua msimamo wake. Hivyo yeye kusema hayo wala si ajabu kama ilivyo si ajabu kwa Amani Karume.
Uelewe kuwa kuwa mbunge si tiketi ya kuwa kada wa ccm. Kuwa kasa ni wito wa mtu kuguswa na kupambana kuhakikisha ccm inapata kuaminiwa na wananchi wakati wote. Haijalishi analipwa, atalipwa,au hatalipwa yeye kwake chama mbele.Katika watu hao Bashe kwangu hayumo yeye anaijua ccm ya Lowasa kwa sasa yumo ugenini.
Asanteni sana Comoro kwa kuwaheshimu wazanzibar .Mh Rais Shein Leo kwenye Tukio la Kumuapisha rais wa Comoro amejikuta akiwekwa nyuma kabisa sambamba Na Mabalozi pamoja Na Watazamaji.
Sijui Protocol ilisemaje lakini hii Ni Aibu kubwa Kwa Rais wa Zanzibar kuwekewa nafasi hii ambayo haiko rasmi. Kwakua Mkuu wa Nchi imeelezwa kuwa amemuagiza kumuwakilisha ninaamini tutapatiwa maelezo ya Kutosha kwa Haya madhila ili Mara nyingine isiweze kutokea tena.
View attachment 351261
Hapa namuona Rais wangu anaisoma No.
Hata huyo mkuu wa mkoa anateuliwa kwa mchakato halali , hajichomeki tu .huyu ni sawa na mkuu wa mkoa tu kwa hapa tanganyika...
Hahahaha, umenichekesha sana.
Katupwa wapi huyu Diwani wa mchambawima?
huenda walifuata alfabeti za nchi