habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,752
Ooooh kwani vipi umetwanga ngapi mpaka sasa?Mleta maada ni mpumbavu na lofa. Kwani mlitaka akae wapi?? Mbona hata akina Kagame walikaa sehemu za nyuma kama hizo kipindi Dr Magufuli anaapishwa. Yaani watu wengine akili zenu zimekaa kuwaza mambo mabaya kwa wenzenu, na bado mtakoma, Dr Shein ndiye rais mpaka 5 years iishe, na Dr Magufuli ndiye rais wa JMT.
Yupo mstari wa pili ambapo mstari wa mbele ndipo alipo mgeni wa heshima. Hiyo ni nafasi ya kawaida sana kwenye mualiko wa viongozi wengi.Mh Rais Shein Leo kwenye Tukio la Kumuapisha rais wa Comoro amejikuta akiwekwa nyuma kabisa sambamba Na Mabalozi pamoja Na Watazamaji.
Sijui Protocol ilisemaje lakini hii Ni Aibu kubwa Kwa Rais wa Zanzibar kuwekewa nafasi hii ambayo haiko rasmi. Kwakua Mkuu wa Nchi imeelezwa kuwa amemuagiza kumuwakilisha ninaamini tutapatiwa maelezo ya Kutosha kwa Haya madhila ili Mara nyingine isiweze kutokea tena.
View attachment 351261
Hapa namuona Rais wangu anaisoma No.
Hahahahahuenda walifuata alfabeti za nchi
TeMh Rais Shein Leo kwenye Tukio la Kumuapisha rais wa Comoro amejikuta akiwekwa nyuma kabisa sambamba Na Mabalozi pamoja Na Watazamaji.
Sijui Protocol ilisemaje lakini hii Ni Aibu kubwa Kwa Rais wa Zanzibar kuwekewa nafasi hii ambayo haiko rasmi. Kwakua Mkuu wa Nchi imeelezwa kuwa amemuagiza kumuwakilisha ninaamini tutapatiwa maelezo ya Kutosha kwa Haya madhila ili Mara nyingine isiweze kutokea tena.
View attachment 351261
Hapa namuona Rais wangu anaisoma No.
Teh Teh Teh ni afadhali asingeenda maana!Mh Rais Shein Leo kwenye Tukio la Kumuapisha rais wa Comoro amejikuta akiwekwa nyuma kabisa sambamba Na Mabalozi pamoja Na Watazamaji.
Sijui Protocol ilisemaje lakini hii Ni Aibu kubwa Kwa Rais wa Zanzibar kuwekewa nafasi hii ambayo haiko rasmi. Kwakua Mkuu wa Nchi imeelezwa kuwa amemuagiza kumuwakilisha ninaamini tutapatiwa maelezo ya Kutosha kwa Haya madhila ili Mara nyingine isiweze kutokea tena.
View attachment 351261
Hapa namuona Rais wangu anaisoma No.
Siajabu hii porojo utaisikia kwa wabunge wa ukawa maana wao na hawa wajinga wenzao mitandaoni lao moja. Kweli ukawa imekwisha kihoja. Sasa huyu mleta uzi kaisha ingiza siku hapa leo dagaa za watoto zimepatikana
nimependa fikiria yako........huenda walifuata alfabeti za nchi
Acha uking'asti wewe! Protocol gani na ya nchi gani ambayo inasema kiongozi mkuu wa Nchi raisi kwenye dhifa za kitaifa atachanganywa na mabalozi na diplomat wengine nyuma ambako hata mpambe wake hapati sehemu ya kusimama? Je katika hiyo safu umeona mtu mwingine mwenye mlinzi au mpambe, je kina kagame walichanganywa na mabalozi au diplomat wengine! Nimeogopa ban nilitaka nikutukane matusi ya nguoni! Prof Ndalichako angeitumbua bodi ya TCU mapema tusingekuwa na watu Kama wewe humu JF.Mleta maada ni mpumbavu na lofa. Kwani mlitaka akae wapi?? Mbona hata akina Kagame walikaa sehemu za nyuma kama hizo kipindi Dr Magufuli anaapishwa. Yaani watu wengine akili zenu zimekaa kuwaza mambo mabaya kwa wenzenu, na bado mtakoma, Dr Shein ndiye rais mpaka 5 years iishe, na Dr Magufuli ndiye rais wa JMT.
Du!Kumbe that is how it is...!!Nilikua sijui hilo,anyways, I think hata huko Comoros itakua wamemchukulia kama representative tu wa Magu eg Government secretary or Minister of foreign affairs...He must be feeling BAD being ISOLATED hapo atakua anatamani hiyo shughulu iishe FASTA ASEPE ZAKE....You RIP what you SOW...Mukumbuke Shein anatambuliwa na museveni tu na yule wa burundi...sijui Nkumaliza sijui nani...lakini rwanda na kenya hawajampongeza.