WatesiWETU
Senior Member
- Jan 2, 2022
- 106
- 250
Comoro ni kisiwa kama lilivyokuwa Zanzibar. Sijui ulikuwa unamaanisha unapozungumzia stendi ya mabasi. Wakati mwingine tuwe serious kwenye mambo ya msingi hasa tunapojadiliana kuhusu biashara/ujasiriamali.Kila kitu Mkuu Stendi ya Magufuli hapo Mabasi yote yapo
Kaka kwa huku bara hakuna boat au usafiri wa majini wa komoro ni mpaka nilipie kweda zanzibar kisha nikalipie kwenda Comoro tena??Fika pale zenj yakhee utapata usafiri.
Wacomorro ni watu wa karimu sana Sheikh
Kwa mizigo kuna meli za mizigo kwenda Comoro zinaanzia DarKaka kwa huku bara hakuna boat au usafiri wa majini wa komoro ni mpaka nilipie kweda zanzibar kisha nikalipie kwenda Comoro tena??
Embu nidafanulie vizuri aisee maana I na maana nikiwa na mzigo nitaulipia forodha zanzibar na uko comoro tena na bado hapa dar bandarini nikague wanipige tena hela je hiyo biasharas itakuwa na faida gani basi..?? dah ..
Ungo.Bado jibu halijatoka
Anataka namba sasa ni sahihi kuweka namba ya mtu mtandaoni bila ruhusa yake?Maswala la pm wameshaanza kuja nayo hapa. Swala la msaada halinaga kuitana chemba wazeee.
Kwenye meli inachukua siku ngapiUnaweza kwenda na meli ya mizigo nauli kama laki hivi,lakini utafika umechoka,kama mfuko unaruhusu panda ndege ,ni jumamosi ,jumatano na jumatatu,nauli go and return kama laki saba mpaka milioni moja,inategemea ,nitumie namba yako pm nikuunge nao
Huwa inategemea na hali ya hewa na hali meli,kama mawimbia sio makali,na meli ni imara,siku mbili mpaka tatuKwenye meli inachukua siku ngapi
Daah usafr wa majini full stress Sana , hasa mkifika sehemu ambayo kila upande ni maji alaf Hali ya hewa ikazinguaHuwa inategemea na hali ya hewa na hali meli,kama mawimbia sio makali,na meli ni imara,siku mbili mpaka tatu
Wazo zuri la kutembelea ubalozi wa comoro Tanzania, mm nilipata rafiki m comoro lkn alichonitahadhalisha kuhusu biashara akaniambia aidha nijipange niende nikafanye survey au nitafute connections na ubalozi wa Tanzania nchini Comoros. Pia aliniambia mazao ya chakula yanalipa sana.Usafiri salama ni kwa ndege tuu, Air Tanzania wanayo route ya huko nenda travelling agent iliyo karibu nawe utapata maelezo zaidi.
Pili, fika maeneo ya Madina restaurant mtaa wa Kongo, maeneo yale ndio wa-Comorro wanafikia na kula, utawapata wengi watakupa picha halisi, na wanazungumza kiswahili.
Tatu, tembelea ubalozi wa Comorrow Tanzania watakusaidia kupata majibu au maswali yako yote.
Ukifanikiwa kupata picha halisi uje utupe mrejesho.