Community health ni shimo la tewa kumbe

Community health ni shimo la tewa kumbe

Nkipewa mtihani na wewe cjui kam hata kama utanifikia hata robo
Ndo tatizo la mitandao ya jamii.
Nilichokiona hapa wewe unaamini mimi ni ndogo kwako au nipo shule nasoma hiyo kozi kwa sababu tu nilikuhoji maswali kuhusu hiyo kozi
Sina lengo la kukudharau mdogo wangu maana ndo kiwango chako cha elimu ulipofikia
Kwa kifupi mm Nina kijana wangu nimempeleka hiyo kozi huu mwaka,
Nikwambie tu mimi sio umri wako wala level yako kielimu
Mimi niligraduate miaka mingi iliyopita na niko kwenye maisha sasa na Nina familia,kwa hiyo sikushangai sana kwa unachowaza kuhusu mimi maana vijana kama wewe Niko nao nyumbani na ndio umri wako,fresh age huwa inasumbua sana
 
Ata ukitype kwenye google ajira mpya kada za afya November 2017
I hope majina utayaona tu
 
Ndo tatizo la mitandao ya jamii.
Nilichokiona hapa wewe unaamini mimi ni ndogo kwako au nipo shule nasoma hiyo kozi kwa sababu tu nilikuhoji maswali kuhusu hiyo kozi
Sina lengo la kukudharau mdogo wangu maana ndo kiwango chako cha elimu ulipofikia
Kwa kifupi mm Nina kijana wangu nimempeleka hiyo kozi huu mwaka,
Nikwambie tu mimi sio umri wako wala level yako kielimu
Mimi niligraduate miaka mingi iliyopita na niko kwenye maisha sasa na Nina familia,kwa hiyo sikushangai sana kwa unachowaza kuhusu mimi maana vijana kama wewe Niko nao nyumbani na ndio umri wako,fresh age huwa inasumbua sana
Mkubwa dawa lakini we ulivo anza ndo namie nkamaliza et Dr shika nsamehe kumbe
 
Nimeamin hayo baada ya kukaa muda mrefu bila kuona ajira zake hatimaye n wahudumu WA afya 15 tu walio ajiliwa na haijulikani wamepatikanaje mh kumbe undugunization na kujuanization bado kupo imekula kwetu makapuku aka tusojulikana

66bb86aeda93c299b59fef138aaa6555.jpg

Bwana mdogo umepata post maana ulilalamika sana kuna post za wahudumu afya hapo zimetoka juzi vipi umechukuliwa?
Nadhani watu wa community health wamebebwa wengi
 
Hao kazi zao za ubwana afya wanafanya watendaji wa vijiji/mitaa.Ndio maana serikali hawana papara na hao watu,in kuvumilia tu mpaka watukufu watakapoamua.
 
Community mtaajiriwa kama medical attendant tuombe mungu
 
Back
Top Bottom