Community health ni shimo la tewa kumbe

Community health ni shimo la tewa kumbe

Na lile tangazo la ajira walilitoa mwezi wa 8,,waliitwa lini kwenye interview ? Au ndio hawa tayari washachaguliwa
 
Na lile tangazo la ajira walilitoa mwezi wa 8,,waliitwa lini kwenye interview ? Au ndio hawa tayari washachaguliwa
Elimu na afya hakuna interview mama
Na ndio maana huku ndio kulikuwa chaka ya wenye vyeti feki na waliotumia vya ndugu,maana wao wanawapangia tu kazi bila interview ful mteremko
 
Back
Top Bottom