community health chuo kikiuu tumain mbeya

community health chuo kikiuu tumain mbeya

sakapesa

Senior Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
100
Reaction score
54
habari wandugu
nimepata mesage kuwa hiki chuo kinatoa kozi ya community health kwa form four leavers bure lakini nimetafuta katika mtandao wao na kwingine sijafanikiwa kupata taarifa zaidi. naomba anaejua anisaidie nawasilisha
 
mi nimechaguliwa hapo BAED web yao inatatizo hata tuliokua selected pale ilikua shida kma walivyo nitumia admission afu haikufka kama vip nikupe namb ya mtu wa admission umchek au ingia www.makumira.tz
 
Back
Top Bottom