Kama haina communication na server ya TENESCO, inajuaje kuwa zile namba ulizoweka zinawakilisha unit ngapi za umeme? kwa mfano unaweza kupata unit 100.2; yaani na mie nashawishika kuwa kuna communication fulani kati ya mita na server za tanesco japokuwa sijui inatumia mfumo gani.