Joeli JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 4,941 Reaction score 3,416 Aug 29, 2012 #21 majebere said: hi jf hakuna jukwaa la rubbish? kama lipo basi tunaomba hii ihamishiwe huko. Click to expand... hili jukwaa halikufai.... nakushauri uhame
majebere said: hi jf hakuna jukwaa la rubbish? kama lipo basi tunaomba hii ihamishiwe huko. Click to expand... hili jukwaa halikufai.... nakushauri uhame
gulio JF-Expert Member Joined Apr 29, 2012 Posts 296 Reaction score 68 Aug 29, 2012 #22 watoto huonyesha anachoona kila siku nyumbani, mtaani na hata shuleni. Maana ukitaka kufahamu tabia ya wazazi waangalie watoto nyumbani.
watoto huonyesha anachoona kila siku nyumbani, mtaani na hata shuleni. Maana ukitaka kufahamu tabia ya wazazi waangalie watoto nyumbani.
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Aug 29, 2012 #23 GIB said: Je unajifunza nini kwenye hii picha? Click to expand... Hata kama umenibeba mm ni M4C tu.
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,372 Aug 29, 2012 #24 Radhia Sweety said: Najifunza kwamba mtu hata akiwa na sura mbaya kama mamba bado watoto watampenda tu. Click to expand... Du kweli umeuwa bendi mkuu
Radhia Sweety said: Najifunza kwamba mtu hata akiwa na sura mbaya kama mamba bado watoto watampenda tu. Click to expand... Du kweli umeuwa bendi mkuu
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,372 Aug 29, 2012 #25 Kashaijabutege said: Fundisho: 1.Katiba mpya ishushe umri wa kupiga kura. 2. Watoto wengine wana akili kuliko sisi wazazi wao. 3. Mtoto aliyebebwa, ana uwezo mkubwa wa kuongoza Baraza la Mawaziri kuliko aliyembeba. Click to expand... kweli mmemchoka mtoto wa mkulima bandia
Kashaijabutege said: Fundisho: 1.Katiba mpya ishushe umri wa kupiga kura. 2. Watoto wengine wana akili kuliko sisi wazazi wao. 3. Mtoto aliyebebwa, ana uwezo mkubwa wa kuongoza Baraza la Mawaziri kuliko aliyembeba. Click to expand... kweli mmemchoka mtoto wa mkulima bandia
B Bahati Risiki JF-Expert Member Joined Jun 20, 2012 Posts 530 Reaction score 94 Aug 29, 2012 #26 GIB said: Je unajifunza nini kwenye hii picha? Click to expand... Babu wee FISADI!!!!!! Mimi nitajiunga na M4C mara tu utakaponiweka chini. BYE CCM!
GIB said: Je unajifunza nini kwenye hii picha? Click to expand... Babu wee FISADI!!!!!! Mimi nitajiunga na M4C mara tu utakaponiweka chini. BYE CCM!