hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,372
- 73,240
Hahaa
Hahaa
Hahaa
Daaahh hahaaa
Mamaeeee*Mume amempigia simu mtalaka wake ataka warudiane*
Mume : Nisamehe naomba turudiane
Mke : Una kikombe hapo?
Mume : No! Kwanini?
Mke : Kachukue kikombe jikoni
Mume : Sawa nishaenda chakua, Sema...
Mke : Kibwage kuanzia juu mpaka chini...
Mume : Eeh! Haya tayari
Mke : Kimevunjika sio!!... Sasa kirudishe kilivokua...
Mume : No, hakijavunjika, nilichukua cha plastic...
Mke : Muone vile!!!.. wewe mwanaume mkorofi sana, haya njoo unichukue
*MAKOFI KWETU WANAUME POPOTE TULIPO*![]()
Mwanangu umeharibu uziMamaeeee