Comment ya mke wangu imenifumbua macho.

nasisitiza uvumilivu ni mhimu,alianza kucheat na kuchelewa home.muulize kwanza kwa upole angalau mpaka mwaka unapita abadiliki CHAKUFIA!
NA PIA KIDUMU HAUTAKIW KUKURUPUKA KUMTAFUTA NI TARATBU ILI AWE MFARJ KWELI SIO AKULETEE STRESS TENA.
UKIJIPATIA KIDUMU USISAHAU FAMILIA YAKO ZDSHA MAPENZ KWA MUMEO ILI AJISHTUKIE MBONA UNA RAHA SIKU HIZI KUMBE UMEBALANCE EQUTN.
 
dawa yake huyo mzalie tu watoto wa nje kibaooooooooooo!!dadeki
 
umeona ehe.
no wivu na hamna kukosa hamu ya kula kila siku.
full mi raha.
akiwa na kipesa chake cha kukutoa out,ahhhhh.
nyumba yenu itakuwa na amani,maana hakuna ugomvi wala mambo ya kutafutana.
Chukua binge LA faivu
 
sasa mkipishana guest atakuwa anakukomoa au anajikomoa! ngoja akakichoshe kipochi manyoya chake na mleteane magonjwa ndani. hana akili huyo.
Me wakati mwingne naona bora kuleteana magonjwa kuliko kuletewa,uko tu ndan umetulia na ukijtuma kama mke mwema wakat nje mwanaume anafanya yake..
 
nilikuwaga sijui ila na mie tajifunza sasa kumbe kuna raha sana.

Habari ndiyo hiyo........ mambo ya kuozesha mito na machozi hakunaga siku hizi!! Simu zimesaidia sana kurahisisha mambo!!!!
Eti unabeba mabegi unaenda kwenu, kufanya nini????? Na watoto utawarudisha tumboni????
Tutabanana hapo hapo...... Wala hakuna kuomba talaka.....
Badala ya kwenda kwenu, aga vizuri kwa hubby unasafari ya kikazi au biashara.....
Nenda kabinuliwe binuliwe weee mpaka roho isuuzike, rudi tulia na hubby lol!!!
 
Ukishakua na mfariji au kidumu nje ni ngumu sana kubalance na ndani ukawa ukawa uko kawaida,vidumu huambatanaga na changes
 
Nimekupa binge LA laikiiiii
 

you made my day
 

nilikuwa nawaza kwa nn watoto wa nje ya ndoa ni weng kumbe sabb ipo.
 
wanaume njooni msome hapa jinsi mnavyokera wake zenu.
mtajutraaaaa mwaka huu.
MA SINGLE HUU UZI NA USHAUR HAWAHUSU SIPEND KUONA WADOGO ZANGU WAKIHARBIWA FUTURE NA WATU WENYE MASTRESS YA NDOA.
NDOA YAKE IKITENGEMAA ANAKUTEMA NA KUKUACHA UMECHANGANYIKIWA. HUWA NAUMIA SANA.
 
Ukishakua na mfariji au kidumu nje ni ngumu sana kubalance na ndani ukawa ukawa uko kawaida,vidumu huambatanaga na changes
Now that depends on how good you are.
Perfect your skills and you will always be safe.
 
Reactions: PLL

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…