Vizuri mkuu,Tiba ya mafua na kikohozi.
Kitunguu maji.
Jinsi ya kuandaa, chukua kitunguu kimoja kikubwa kata katikati chemsha kwenye maji ujazo glasi moja inatosha,unaeza kuongeza idadi ya kituu kulingana na ukubwa wa mafua na kikohozi...
Yeah, kila unapotakiwa kunywa basi inakulazimu ukate kitunguu kipyaVizuri mkuu,
Kila unapokunywa Glass moja unarudia kukata kitunguu kingine kila awamu.
KUMBUKIZI KWA WOTE: Unapotoa maelezo hakikisha yanajitosheleza ili kuepuka comments/maswali mengi kuhusu tiba moja na Pia Ili kutoa nafasi kwa Shuhuda za tiba nyingine ziweze kuonekana. Unapoandika jichukulie kama ni mgonjwa anayetaka maelezo yote hii itasaidia kujumuisha majibu ya maswali tarajiwa katika maelezo yako.
Dah sasa mimi nikikaa bila dawa mafua ndani ya siku nne yanaisha.Tiba ya mafua na kikohozi.
Kitunguu maji.
Jinsi ya kuandaa, chukua kitunguu kimoja kikubwa kata katikati chemsha kwenye maji ujazo glasi moja inatosha,unaeza kuongeza idadi ya kituu kulingana na ukubwa wa mafua na kikohozi...
Dah sasa mimi nikikaa bila dawa mafua ndani ya siku nneTiba ya mafua na kikohozi.
Kitunguu maji.
Jinsi ya kuandaa, chukua kitunguu kimoja kikubwa kata katikati chemsha kwenye maji ujazo glasi moja inatosha,unaeza kuongeza idadi ya kituu kulingana na ukubwa wa mafua na kikohozi.
Chemsha mpaka litoke povu jeupe na maji yatabadilika rangi kuwa ya zambarau upua yapoze kidogo.
Matumizi, kunywa asubuhi na jioni kwa siku 7.
Matokeo,inapoza homa na kichwa,kichwa kinatulia kama sio kupona kabisa, kikohozi kinalanika na mafua yanazibuka kama yameziba.
Maumivu yakizidi muone daktari.
ANGALIZO, hii tiba itakuongezea mihemko(hamu) ya tendo la ndoa sio mzuri kwa asiye na mke au mume.
Yeah, kila unapotakiwa kunywa basi inakulazimu ukate kitunguu kipya
Mf.ukikata kitunguu 1 ukachemsha basi matumizi yake yameisha ni kukitupa mchana au jioni ni hivyo hivyo.
TIBA NYINGINE YA KUONGEZA DAMU.Mizizi ya mnazi kama tiba ya upungufu wa damu.
Chimba mizizi ya mnazi kiasi kidogo tu.
Ioshe vizuri kisha ichemshe hadi maji yawe na rangi kama chai ya rangi baada ya hapo yapoze kisha kunywa kikombe kimoja tu kwa siku kwa muda wa siku tatu hadi nne...
Siku 7 ni kama yataendelea lakini unaeza kupona siku 1 au 2 na ukaacha kutumia dawa,dah sasa mimi nikikaa bila dawa mafua ndani ya siku nne yanaisha.
Alafu dawa inaniambia nitumie siku saba dah.
Mizizi ya mrosho ndo mizizi gani?Kama una tatizo la ugonjwa wa gono tiba ni
Chemsha mizizi ya mrosho kunywa glasi tatu za maji ndani ya week tu gona kwisha....
*****Kama Tiba hukuwahi kuitumia Wewe mwenyewe au umesikia tu kwa watu. Basi Ushuhuda wa Tiba hiyo peleka Nyuzi nyingine humu hauhitajiki na kama umeshafanya hivyo njoo Ufute mwenyewe.*****Nb:Ukweli uzingatiwe isije ikawa kama ushuhuda wa kula tunda kimasihara mtu anajitungia kufurahisha genge.
Matatizo ya nguvu za kiume dawa mizizi yamigomba na vitunguu saumu wiki tuuu matokeo 99%
Tiba ya mafua na kikohozi
Kitunguu maji.
Jinsi ya kuandaa, chukua kitunguu kimoja kikubwa kata katikati chemsha kwenye maji ujazo glasi moja inatosha,unaeza kuongeza idadi ya kituu kulingana na ukubwa wa mafua na kikohozi...
Mkuu,mkuu tunaomba ufafanuzi wa ziada kwenye hilo suala la hamu ya tendo la ndoa
Matatizo ya nguvu za kiume dawa mizizi yamigomba na vitunguu saumu wiki tuuu matokeo 99%