Coming On 31st of July: Hosanna Studio (User Test Version)

Mtangoo

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2012
Posts
6,163
Reaction score
5,624
Hosanna Studio is a PHP IDE that is one station for all your PHP Works. The application is tailored to make your production Quick, Easy and Effective by including only necessary tools. Its learning curve is almost nil and will provide you a Drop in Plugin architecture which means adding only your Favorite tools.

On Behalf of Hosanna Higher Technologies Development Team I'm glad to announce that the User Test Version (UTV) of the IDE will be available on 31st of this month. The details on getting UTV licenses will accompany the release on the same date. Here are some screenshots of the IDE at work.

Some Quick Major Features so far are:
  • Multi Project Management
  • Simple and Extended Searches
  • Integrated Yii Support
  • Symbols Browser and Lint Check
  • Code Beautifier (Early Stage)
  • HTML File Fixing and Beautifier (Early Stages)
  • HTML/CSS/PHP/SQL Support
  • CodeCompletion and Documentation
  • Database Support (Currently MySQL but others will follow)
  • FTP Support
  • Integrated PHP and Yii Manuals
  • Integrated Web Browser
  • Supporting Windows and Linux

More on this see the official Announcement Here

editor.png

database.png
 
Kwa muda wa wiki sasa nimekuwa nikihangaika na serial validation system kwa ajili ya software zangu. Mwisho wa siku nikaamua kutumia solution moja ambayo ni server-side validation yaani mtu anajaza activation key then hiyo key inatumwa kwenye server kuihakiki kama ni valid, au kama imetumika na kama imetumika ni nani aliyeitumia na kama ni single key inayotumika mara nyingi basii imeshatumia mara ngapi halafu activator inarudisha majibu kwa mtumiaji.

Hiyo njia hapo inahitaji PHP na MySQL.... damn mpaka kichwa kinaniuma so I hope hii IDE itanisaidia kwa kiasi fulani...

Pia naomba msaada kwa mtaalamu wa PHP na MySQL anisaidie kuandika script ambayo itaenda sambamba na good UI kwa ambayo itaniwezesha ku-write katika MySQL via webforms

kwa mfano: Client Name: .................................
Company Name: ............................
Licence Key: ..................................
Number of Licence: ........................

************
# SUBMIT #
# #
************

dau lipo kwa atakayetoa kazi nzuri....

CC C6 , Donn , hubiri burton
 
Last edited by a moderator:

Wateja wako wote watakuwa na Internet? Halafu hata hii njia inaweza kuwa cracked. Mtu anatengeneza server fake halafu ana camouflage response kuwa key haijatumika then....!

Hiyo njia hapo inahitaji PHP na MySQL.... damn mpaka kichwa kinaniuma so I hope hii IDE itanisaidia kwa kiasi fulani...
Unaituma kama part ya URL Request (POST/GET) then umemaliza. Ila hapo sijagusa chochote kuhusu protection. Ila sio ngumu!

Pia naomba msaada kwa mtaalamu wa PHP na MySQL anisaidie kuandika script ambayo itaenda sambamba na good UI kwa ambayo itaniwezesha ku-write katika MySQL via webforms
Hapo sijaelewa, unaweza kufafanua?

kwa mfano: Client Name: .................................
Company Name: ............................
Licence Key: ..................................
Number of Licence: ........................

************
# SUBMIT #
# #
************
Hii inakuwa ktk PHP au Webforms/.NET?

dau lipo kwa atakayetoa kazi nzuri....

Kama unataka Consultancy ya kutengeneza System yako A-Z unaweza tuma details zako na Dau lako. Then someone will pick it up na mtafanya nae mpaka mwisho. Hatujaanza bado officially lakini we can do for you!
support@hosannahighertech.co.tz
 
Nyasiro hii wape wengine, mie ntasikia uchungu kula hela yako asee. :behindsofa:
Hapana kwa sababu si anafanya biashara kwa hiyo software? Angekuwa aafanya ya bure (and the point of licencing is???) ingekuwa sawa 🙂
 
Wateja wako wote watakuwa na Internet? Halafu hata hii njia inaweza kuwa cracked. Mtu anatengeneza server fake halafu ana camouflage response kuwa key haijatumika then....!

Unaituma kama part ya URL Request (POST/GET) then umemaliza. Ila hapo sijagusa chochote kuhusu protection. Ila sio ngumu!

Hapo sijaelewa, unaweza kufafanua?

Hii inakuwa ktk PHP au Webforms/.NET?

Kama unataka Consultancy ya kutengeneza System yako A-Z unaweza tuma details zako na Dau lako. Then someone will pick it up na mtafanya nae mpaka mwisho. Hatujaanza bado officially lakini we can do for you!
support@hosannahighertech.co.tz

Wateja watatakiwa kuwa na internet wakati wa kufanya installation/activation only

Kuhusu URL request data zote GET and POST zinakuwa encrypted...hashed etc :tongue: (haitakuwa rahisi)

hapo mwisho nnachokimaanisha ni kwamba: nahitaji kuwa najaza taarifa za wateja na licence zao kwenye database mmhhh kupitia phpMyadmin sasa hicho ndiyo kitu ambacho mimi sitaki so nataka kuwa najaza kwa njia rahisi kupitia web-browser yaani kunakuwa na form ambayo ntakuwa nna access mimi tu na kujaza hizo licence keys badala ya kuzijaza kutumia SQL commands
 
huyu ni jamaa wangu, sasa naona uchungu kumpunyua mpunga wakati mwenyewe najua hana kitu kwanza
I know but mnakubaliana akianza kuuza ndio anakupa!
 
Wateja watatakiwa kuwa na internet wakati wa kufanya installation/activation only
I see!

Kuhusu URL request data zote GET and POST zinakuwa encrypted...hashed etc :tongue: (haitakuwa rahisi)
Hako ndiko ka part nilikosema nimekaacha ka validation and encryption/decryption!

hapo mwisho nnachokimaanisha ni kwamba: nahitaji kuwa najaza taarifa za wateja na licence zao kwenye database mmhhh kupitia phpMyadmin sasa hicho ndiyo kitu ambacho mimi sitaki so nataka kuwa najaza kwa njia rahisi kupitia web-browser yaani kunakuwa na form ambayo ntakuwa nna access mimi tu na kujaza hizo licence keys badala ya kuzijaza kutumia SQL commands

We can design it for you. place an order and your Amount (this is only for you if any other interested should send request to email and prices will be emailed back or wait for the website!) and Deadline for your software system.
 
I see!

Hako ndiko ka part nilikosema nimekaacha ka validation and encryption/decryption!

We can design it for you. place an order and your Amount (this is only for you if any other interested should send request to email and prices will be emailed back or wait for the website!) and Deadline for your software system.

Ok kwa sasa bado nafanya testing kupitia localhost (apache, PHP5, mysql, phpmyadmin) pamoja na hiyo validation system ambayo ikikamilika ntafanya mawasiliano...
 
ila umepiga hatua kijana km unawaza kuvalidate kama adobe
 
Nyasiro nina hamu yakufanya hiyo kitu yako lakini kwa sasa nimetingwa kidogo. Ila ninaweza kukuhakikishia kwenye backend, lakini kwa frontend (UI) hapo siko vizuri sana. Kama C6 anaweza akakubali kufanya kwa upande wa frontend basi tunaweza tukafanya pamoja. Lakini yote yanawezekana kulingana na muda nilionano. Kwa sababu sidhani kama ninaweza kukucharge pesa as unavyojua tangu tulivyoanza kufanya shughuli pamoja.
Nilichelewa kuona post yako kwa sababu uliicopy akaunti yangu ambayo kwa sasa siitumii iliniletea shida nikafungua nyingine ambayo ni hii.
Stefano Mtangoo Je hiyo IDE imeshatoka? Kama tayari nifahamishe ili nami niijaribu... kama itanifaa naweza kuhama kutoka kwenye Netbeans nakuhamia huko kwako kwa kazi zote zinazohusisha PHP, maana nimeona pia kuna kipart cha Yii (Yes It Is)...
 
Ilikuwa itoke jana kuna vitu vichache havijakamilika (vingine sio mimi ninayefanyia kazi kwa hiyo imebidi kusubiri mpaka leo. Ikitoka tu nitabandika hapa....almost there 🙂 hbi
 
Last edited by a moderator:
A big bug that crept in during porting to Windows delayed it for one month or so.
Now the Studio is going few test before last Beta Version aka User Test Version will be released on Monday 9th September 2013. How to get a Test License will be said on the same day.

Get ready and spread a word in your facebook account or Twitter

Proudly Tanzanian!
 
Back
Top Bottom