Comfesheni page. . . . .

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,914
Kwanza,kwa wale wenye mapenzi mema na ndoa zao najua mtakubaliana nami. . Leo nimeamua kuwawekea ukurasa huu maalumu,kwa wale wfte wanaowa-cheat waume/wake/boyfriend/girlfriend zao watubu hapa.Usihofu mwenza wako akikukuta umekomfess hapa atakuona wa ukweli na mapenzi yatazidi saaaaana! . . . . .Ningeanza mimi lakini mi Kaunga ndo kanitoa ubikira wangu last week,bado mi ni faithfull kwake!Karibuni . . . . . . !
 
Ngoja mie nikae hapa pembeni nipige chabo😛eep:
 
We Eiyer wewe mbona unataka kuvuruga ndoa za watu!
 
Last edited by a moderator:
"confess"!? kwangu mimi Mmatumbi?! no way mazee hata anikute kwenye nje-ndani bado nitabisha. Ukweli ni kwamba ukibisha inaonyesha bado unamjali mwenzio na unahitaji bado uwepo wake, uki confess maana yake ni kama kumwambia ndiyo nimefanya amua unachotaka.
 
Naconfess nilikucheat kindoto na kaka yangu juzi kati, nisamehe mpenzi wangu Eiyer sirudii tena.
 

Kijana mbingu hutaiona kamwe!
 
Naconfess nilikucheat kindoto na kaka yangu juzi kati, nisamehe mpenzi wangu Eiyer sirudii tena.

Najua ile it was just sex,but u love me,isn't it darling?
 
Kijana mbingu hutaiona kamwe!
Eiyer uwongo utakaookoa ndoa halali unaruhusiwa mkuu, ndoa ni kitu kitakatifu- kwetu tunaambiwa talaka ni halali inayomchukiza mwenyezi mungu!
 
Last edited by a moderator:
unatubu kwa kuutangazia umma? Sema unataka kujuwa tu madudu wanayofanya watu.
 
Eiyer uwongo utakaookoa ndoa halali unaruhusiwa mkuu, ndoa ni kitu kitakatifu- kwetu tunaambiwa talaka ni halali inayomchukiza mwenyezi mungu!

Halali inayomchukiza Mungu????Mh!Nimekomfyuzi hapa!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…