Hamukoko-Nansio
Member
- Aug 21, 2013
- 15
- 0
nauliza ile Comedy ya mahanjumat iliyokuwa inarushwa na startv imepotelea wapi, ile ilikuwa ni THE BEST COMEDY HAPA TZ, tunaomba starttv irudishe kipindi kile, kwani hata Ze Comedy, original comedy kuna mambo wameiga kutoka kule