Comedy Bora Kuliko Zote .

Orijino Komedi

Sababu nyingi kuichagua Orijino Komedi kama ndiyo bora ktk Kiswahili mfano mojawapo clip hii:

Masanja AOWA! (Masanja & Wakuvwanga - Mama Imma) "Ima mwanangu..unaenda Mombasa!?"

 
Tafuta mind your language, ni ya kiingereza
Tamu hiyo hadi raha.
 
Hakuna atakae tokea kama Champlin, Mungu alimfanya kuwa wa kipekee, na ni wa pekee kwa kila kitu.
 
Animations karibu zote zinachekesha,
Kevin hart movies zake.
 
kwenye commedy iyachukua miaka 100 kutokea kama huyu



Huyu jamaa hadi mauti take ni comedy.... Kuna wahuni walifukua kabur lake kisha wakawaambia wanafamilia watoe kias fulani cha Pesa ili wapewe marehem wao...kwa msako wa polisi walidakwa lakini janga jingine wezi hao wakawa wamesahau mwili walipouficha wakaishia kukisia.....baada Siku kadhaa mwili ulipatikana na mazishi yakafanyika upya....Chaplin kazikwa Mara tatu (Mara ya kwanza baada ya mazishi....Mara ya pili waizi waliufukia mwili wake sehem kisha wakapasahau....Mara ya tatu baada ya kupatikana kwa mwili wakamzika upya)
Jmaa ana skendo ya kutembea na mwanamke under age ila ikatumika nguv ya Pesa kuizima kesi.Binafsi namkubali jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…