Mchiwa Ng'ambaku
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 959
- 803
Joti anafanya kwenye group mheshimiwa, siyo solo stand-up. Kwa mc pilipili umepatia, nimemcheki leo ana kipaji anachokikuza kwenye sherehe za harusi.
Kinyambe anavutia wachache kwa sababu anachanganya vibaya comedy za aina mbili; visual na mimicry.
Ninachokisema ndicho ulichoandika hapo juu, siyo kufundisha comedy ila kuwapa elinu ya kutambua muhusika ana_kick kwenye aina gani ya comedy.
=======================
Kama hujui kuzioanisha vizuri, msukumo wa ucheshi hupungua sana.Tusiandikie mate na wino upo! Mtazame Kinyambe
Je, ni komedian (mchekeshaji) gani hapa Bongo anayeweza kulinganishwa na Eric Omondi wa kenya? Kwa mnaomfahamu naomba mnijuze nicheki ukali wake.
You are very right mate!Mkuu ulitakiwa kuwa specific kwamba unaulizia stand up comedians na sio comedians. Tanzania suala la stand up bado ni ishu ndio maana kuna kipindi alikuja Mr Cooper na jamaa mwingine toka US lakini mahudhurio yalikuwa hafifu sana. Hapa watu wamezoea "sketch comedy" kama za kina Masanja, Futuhi na wengine.
Kuna watu wanaoweza kufanya stand up comedy iwapo watapata training ya jinsi ya ku-deliver punch lines na pia watu wa kuwaandikia materials.
Sentenso ya kwanza umeeleweka ila umeamalizia kwa namna ambayo mtu mzima kama mimi anastuka kidogo!Nisome vizuri mkuu nimesema kwenye comedy za kawaida Joti ni mkali, nafahamu kwamba Joti hafanyi stand up comedy.
Acha kusoma comment kama unakimbizwa mkuu!
Sana, The Boss. Tena nimeshakomenti juu ya hili.Mpoki ana kipaji cha 'witty sayings' ie misemo ya ukweli yenye ucheshimpoki kwa stand up mzuri
Kwa commedy za kawaida hakuna anayemfikia Joti bongo
kende, kama unavyoshangazwa na watu wanaofurahishwa na braza k na kinyambe, vivyo hivyo wako watakaokushangaa kumpamba Joti kwamba ni comedian mzuri.Mimi mmojawao!kweli binadam tunatofautiana, yaani kuna watu wanachekeshwa na Kinyambe/Braza K?
Sentenso ya kwanza umeeleweka ila umeamalizia kwa namna ambayo mtu mzima kama mimi anastuka kidogo!
Kwa commedy za kawaida hakuna anayemfikia Joti bongo
Yaani safari hii sijakuelewa hata kidogo na wala sikimbizwi!
Tumemsahau dada wa kiganda, Anne Kansiime.Staili ya huyu dada ni tofauti sana.Si visual wala jokes punchline ila ni kuchimba social issues zinazokera. Hebu mwangalie HAPA akiwachimba watu wanaopiga simu kisha kukuambia ni wrong number. Pia jinsi akina mama/dada wanavyopenda ugomvi.
Asante kunijulisha juu ya stan bakora. Nimemtafuta mtandaoni nikamwona.Jamaa kajitengenezea trade mark ya kiraka cha mvi kichwani juu ya skio la kushoto.Kwa harakaharaka nilivomwona jamaa yuko strong kwenye visual comedy ie staili ya mr bean.Ila pia yupo kwenye mimicry comedy. Nimemcheki HAPAKibongo kuna jamaa anajiita Stan Bakora anapendeza sana na style yake.