Mr Bean, TODAYS, yuko class moja na msanii wa zamani aliyeitwa Charlie Chaplin.Hivi Mr Bean kasimama upande gani ?
Pichaa
Ni kweli best yangu Viol. Staili ya brother k ni visual comedy kuchanganya na mimicking comedy.Mchanganyiko huu waweza zalisha uchafu wa ajabu usiopatikana popote duniani. Yeye Omondi staili yake ni ya kawaida ijulikanayo duniani: staili ya jokes punchlines.Jokes punchlines ndo staili itumikayo na comedians wengi duniani.Hao kina kinyambe na brother k hawafanani na omondi style ya kuchekesha,Eric omondi style yake ni ile ya kina mc pili pili.angalia hata youtube-churchil show Eric omondi ni noma na mbunifu
Ni kweli best yangu Viol. Staili ya brother k ni visual comedy kuchanganya na mimicking comedy.Mchanganyiko huu waweza zalisha uchafu wa ajabu usiopatikana popote duniani. Yeye Omondi staili yake ni ya kawaida ijulikanayo duniani: staili ya jokes punchlines.Jokes punchlines ndo staili itumikayo na comedians wengi duniani.
kuna yule mwingine kule channel 10 yule anayefanyafanya kama tahahira flani, nitashangaa sana mtu akiniambia huwa anachekeshwa naye.
Huyo ni shida ndio anaitwa kinyambe
uuuuwiii kumbe anaitwa kinyambe??? hata jina simjui,dont tell me kuwa eti anakuchekeshaga na yale makengeza yake???
Kinyambe ni shida pia tembea yke n ongea yke kma taahira flani yuko poa
hahahahahaaaa basi sawa kweli watu tupo tofauti, mimi nikiingia channel 10 nikikutana nae nitakavyo bonyeza hiyo remote kwa nguvu kutaka kubadilisha chanel batani zaweza dumbukia kwenye vishimo vyake.
Yuko poa kifani mpe support kinyambe anaweza sana
maana inaonekana hawana uelewa wa tofauti ya hizo vichekesho so tuanzishe chuo kama uko na uelewa kamanda.
Nimemcheki mc pilipili mshikaji Viol. Anatumia jukwaa la maharusi kukuza na kuendeleza kipaji chake cha uchekeshaji na staili yake ni jokes punchline kama Omondi.Namkubali, yuko vizuri.Mwone HAPA kwenye harusiTafuta YouTube MC.Pilipili,yule kwa style yake anaweza akafanya comedy popote,mtu Kama Eric omondi anaweza Fanya show popote akakubalika Kama kina baskethmouth,hawa kina kinyambe style yao hii ya kukunja midomo wataenda kufanya wapi?
Mi huwa wananiboa ubunifu hamna hata hiyo mimicry yenyewe haichekeshi,kwa mbali ningesema Labda kitale,bongo hamna comedy
Inaonekana hata kwenye vyuo vya sanaa napo wanafanya comedyTODAYS, uchekeshaji upo ndani ya mtu; it is an inborn ability. Kumfundisha mtu uchekeshaji ni ngumu, haiwezekani.maana inaonekana hawana uelewa wa tofauti ya hizo vichekesho so tuanzishe chuo kama uko na uelewa kamanda.
Wachekeshaji maarufu duniani walizaliwa na vipaji hivyo, na hata waliposomea fani nyingine walijikuta wanaacha hizo fani walizosomea na kuingia kwenye uchekeshaji.Watu wa aina hiyo ni:Rowan Atkinson (Mr Bean), Jimmy Carr, Anne Kansiime etc
Kinyambe anavutia wachache kwa sababu anachanganya vibaya comedy za aina mbili; visual na mimicry.Kama hujui kuzioanisha vizuri, msukumo wa ucheshi hupungua sana.Tusiandikie mate na wino upo! Mtazame Kinyambe HAPA na mchanganyiko wake usioendana; sauti ya kuiga na miondoko ya kinamna!uuuuwiii kumbe anaitwa kinyambe??? hata jina simjui,dont tell me kuwa eti anakuchekeshaga na yale makengeza yake???
Kinyambe anavutia wachache kwa sababu anachanganya vibaya comedy za aina mbili; visual na mimicry.Kama hujui kuzioanisha vizuri, msukumo wa ucheshi hupungua sana.Tusiandikie mate na wino upo! Mtazame Kinyambe HAPA na mchanganyiko wake usioendana; sauti ya kuiga na miondoko ya kinamna!
Braza K bwana acha kabisa
Joti anafanya kwenye group mheshimiwa, siyo solo stand-up. Kwa mc pilipili umepatia, nimemcheki leo ana kipaji anachokikuza kwenye sherehe za harusi.Kama ni stand up comedy kwa bongo hakuna anayemzidi Eric Omond.
Ingawa kijana wangu mc pilipili ni mkali ila bado underground akikaza atafikia level za kina Eric na Anne.
Kwa comedy za kawaida hapa bongo no. 1 ni Joti halo halina ubishi.