Come on good people, sharing is caring


Huo ushauri wako umetulia sana
Wewe ulikuwa mlevi mwerevu caz despite kutumia vilevi lkn bado ulishika shule
 
mi nna mengi mno nikiandika hapa page itakuwa yangu
 
"U will never know that u are strong until when being strong is the only option U have".

Mimi changamoto yangu ilikuwa sio Njia ya shida sana ila naweza kusema ni unique sababu hakuna mtu ambaye anaweza kuiona kuwa ni changamoto

I worked three years baada ya kumaliza chuo,I thank God Nilipata my dream job lakini Matokeo yake nikabweteka,kuridhika ni kubaya sababu kunakufanya Usiwe ambitious zaidi

Watu wengi wanahisi ukiwa na kazi nzuri(Mshahara mnono na unaipenda) Basi maisha umeyapatia lkn hawaoni swala la kuridhika kama ni kikwazo. Maisha yana badilika,hasa kwenye ulimwengu wa professionalism,lazima kila muda ujiupgrade,lazima uwe on top kwenye professional yako ili uendane na ushindani

Kubweta kwangu kulinifanya nisiwaze kusoma masters,kufanya any professional certification,nilikuwa off track hata kwenye maswala ya kimahusiano sababu nilijiona nipo vizuri financially na nina kazi nzuri so nikawa nakula bata na kuwa careless.Matatizo mengi yanayo husiana na mahusiano niliyapata ambayo nisingependa kuyaongelea

Now umri ukaenda,malengo yangu ambayo nilopanga kabla kufikisha certain age yakawa hayaja timia na kubwa zaidi ofisini wakawa wanataka watu ambao wana qualification ziada.Hapo ndipo nilishtuka na kuanza kukumbuka aliyokuwa ananiambia mzee wangu,alinisisitiza sana nisibweteke,nifanye mpango wa kurudi shule lkn nilikuwa sielewi.

Ilibidi nichukue uamuzi,I had to step out of the cyle,nikaamua kuja mbali na mazingira yaliyo nizunguka na imenisaidia sana maana nilianza kusoma masters tz lkn sikuwa serious.I thank God as I am speaking now this year nimefanikiwa kupata two professional certifications,I am about to finish my masters programme and next year nitarudi bongo kumalizia masters yangu nyingine niliyokuwa nimeianza kabla sijaondoka.I dropped all the relationship bullshits,I have one and only one gf nayempenda na nina malengo naye. I am a completely new person now,kuja mbali kumenisaidia kuona Vitu from a different angle na kujua wapi nilikosea

Ushauri:
1. Always stay on top of the game,usivimbe kichwa kwa mafanikio uliyo nayo ukabweteka.Kubwa kuliko yote epuka company ambazo hazikuongezei utashi wa kufanikisha malengo yako.Marafik zangu walikuwa watu wema na wenye kupenda mafanikio lkn walikuwa careless na walibweteka kama mimi.

2. Sometimes kubadilisha mazingira kuna siadia,Si lazima uende abroad,hata kubadili mkoa tu.Kunakufanya upate wasaa wa kuwaza nje ya box

3. Your success can be your destruction,stay focused
 
"U will never know that u are strong until when being strong is the only option U have".

...need not say more, pouwa sana Mkuu!
 
Haters are motivators.

I love haters.

Shouts out to all the haters.


some haters can break your heart....
those you don't expect to hate..you expect them to be proud of your success....
tafuta lyrics za 'juju' by Ice prince...

kuna kipande anasema..

Some of y’all really showed love way back
Damn, now you hating my success
How the ---- am I supposed to relate that
Huh
Am I supposed to be upset
But see homie
I got kicks so fly, Jet Li homie
 
True Friends? ? ?




the snake slithers around
sneaky not to make a sound
slowly creeps upon his prey
attacks then runs away

beware of him he bites
and does it within his rights
he might be pretty to look at
but truly he's ugly lot


the snake will smother
even kill his own mother

snakes are full of greed
upon your soul he will feed
the snake is a self-adoring creature
humility is not a feature

snakes are everywhere
so beware.......
 

Mmh nikiona hio avatar hua naogopa
 

Haha..nimejifunza kitu..ila daah hadi ulanzi umeupitia...ila hongera for staying clean.keep on praying
 

ahsante kwa kushare nasi,pole kwa musukosuko uliyopitia na hongera kwa mafanikio yako mpnz!
 

Hongera sana kwa mafanikio yako mungu atakuongoza zaidi!
 
some haters can break your heart....
those you don't expect to hate..you expect them to be proud of your success....
tafuta lyrics za 'juju' by Ice prince...

Big Bossman,

If one is of the mindset not to allow haters to hold them back or bring them down, then no matter who the hater is, is not going to succeed.

That's why I subscribe to the philosophy of making your haters your motivators. In other words, turning every negativity into positivity.

The more they hate the more they bring the best out of you.

And guess who benefits in the end? You guessed it.....it's you.

And really the benefit(s) has got not nothing to do with them having egg on their face just because what they wanted or wished happen to you didn't.

In the grand scheme of things it's never really about them but more so about you and you only.
 
Ine of my best xperiences ni siku ambayo mke wangu alijifungua ilikuwa january 2010...

nilimpeleka hsptl usiku tena ilikuwa ni siku ya b/day yangu...i ddnt slip that night

Kuna hisia ambazo huwezi kuzielezea wakat mwingine.
 
Ine of my best xperiences ni siku ambayo mke wangu alijifungua ilikuwa january 2010...

nilimpeleka hsptl usiku tena ilikuwa ni siku ya b/day yangu...i ddnt slip that night

Kuna hisia ambazo huwezi kuzielezea wakat mwingine.
You sound like a good and responsible father hongera kwa hilo!Be proud!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…