Hicho KITAMBI, safi sana aisee..... watu hamjui tu 🙂
Shepu maridhawa kiuno kikubwa kuliko kijitakohajajiona shep yake jamani.......
Huyu si mzima!Sijui hii ndio fasheni ya wapi?
hajajiona shep yake jamani.......
Shepu namba 8 hiyo....
Mmmh huoni bra(red) kaitolea kwa nje!!
hiyo inaitwa sina habari.... a.k.a shauri yenuHuyu si mzima!Sijui hii ndio fasheni ya wapi?
hapendi na hajawahi kujiangalia katika kioo = hajijui alivyo