Combination ipi inafit kwenye mahusiano?

Combination ipi inafit kwenye mahusiano?

Teh teh..Huyo usimuhesabie sana..Mama ake anaweza kuja anytime na kumchukua
Kwani akimchukua anakuwa sio mtoto wetu? Atabaki kuwa wetu tu, unahesabu tu unadhani raha eeh?
 
Teh teh..Ndo huyu pasua kichwa wangu bro..

atoto kumbe tupo live on tv..Embu tuache..Watu wanatuangalia...Tutajadili chumbani

Hahaha....

Msitufanyie hivyo kusitisha hii LIVE kama ni gharama sisi ndio walipa kodi hahah
 
umri ndo nn? Rafiki angu kaolewa na mwanaume wanaezidiana miaka 18..ukiwaona utadhani umri wao 28 kwa 30...wako vzuri sana..umri siyo isssueeeee
 
Back
Top Bottom