GOWISHI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 611
- 604
Nikweli cha msingi maelewanoMuhimu maelewano tu, mengine porojo.
Nikweli cha msingi maelewanoMuhimu maelewano tu, mengine porojo.
Mbona mimi na wewe tumepishana miaka 12?Mutual understanding ndo kitu kikubwa..Bt ukiniuliza kuhusu umri..gap ya 2-5 yrs naona iko poa
Teh teh...Sasa si utakuwa una umri kama wa Douta..We mimba inakufanya upoteze kumbukumbu..Sio 12 banaMbona mimi na wewe tumepishana miaka 12?
Kuoa sio tofauti ya umri bali pawepo upendo wa kweli ndani mwenu wote wawiliGreetings All..!
Kwetu tumezaliwa watoto 6 wa kiume! Wote wameoa isipokuwa mimi. Hapa namaanisha hata wadogo zangu wameoa.
Ishu ni kwamba kati ya wote kuna waliooa umri sawa, umri unakaribiana, na wengine wameachana miaka 10.
Point ipo hapo, upi ni umri sahihi wa kufanya maisha na mwanamke! Hapo kuna matimbwiritimbwiri nayashuhudia ktk ndoa zote na hata kwa marafiki zangu, kiasi kwamba nabaki njia panda cjui wapi ni sahihi kujishikiza, nabaki najiuliza upi ni mchanganyiko kamili kama ituatavyo hapa chini:
Umri Mwanaume Umri Mwanamke Tofauti ya Umri
1. 34 26 8+
2. 37 38 1-
3. 40 22 18+
4. 33 33 0
5. 29 20 9+
6. 34 23 11+
NB: Kwanin wenye umri usiokaribiana huwa wanakuwa na maisha mzuri na matamu kuliko wenye umri unaokaribiana?.
Hahahaaaa! Kwahiyo doughter ulimpata ukiwa na 12? Khaaah tabia mbaya ulianza kitambo kumbe!!Teh teh...Sasa si utakuwa una umri kama wa Douta..We mimba inakufanya upoteze kumbukumbu..Sio 12 bana
Teh teh..Douta alipatikana kwenye kombolelaHahahaaaa! Kwahiyo doughter ulimpata ukiwa na 12? Khaaah tabia mbaya ulianza kitambo kumbe!!
Alafu huchoki tuuuuu!! Hebu uzeeke sasa nami nipumue.Teh teh..Douta alipatikana kwenye kombolela
Ebo!! Yani mtt mmoja tu ndo unalalamika hivyo..Alafu huchoki tuuuuu!! Hebu uzeeke sasa nami nipumue.
Haya..tuanze..tumalize hapa hapa..na wadau washuhudie..sitaki lawama baadae
Greetings All..!
Kwetu tumezaliwa watoto 6 wa kiume! Wote wameoa isipokuwa mimi. Hapa namaanisha hata wadogo zangu wameoa.
Ishu ni kwamba kati ya wote kuna waliooa umri sawa, umri unakaribiana, na wengine wameachana miaka 10.
Point ipo hapo, upi ni umri sahihi wa kufanya maisha na mwanamke! Hapo kuna matimbwiritimbwiri nayashuhudia ktk ndoa zote na hata kwa marafiki zangu, kiasi kwamba nabaki njia panda cjui wapi ni sahihi kujishikiza, nabaki najiuliza upi ni mchanganyiko kamili kama ituatavyo hapa chini:
Umri Mwanaume Umri Mwanamke Tofauti ya Umri
1. 34 26 8+
2. 37 38 1-
3. 40 22 18+
4. 33 33 0
5. 29 20 9+
6. 34 23 11+
Iiloesabu ni hatarii
NB: Kwanin wenye umri usiokaribiana huwa wanakuwa na maisha mzuri na matamu kuliko wenye umri unaokaribiana?.
Mwanamke unakuwa na uoga mwingi , hauwi huru kumtania tania mpenzi au mume kuna heshima iliyopitiliza inakuwepo .Mwanaume anakuwa sio rafiki ,mshirikishaji katika mambo yake ,.oa mwanamke uliyempita kuanzia miaka 12
Unakua mume na akileta ujinga unamtandika kama Broo wake!
My dear speaking of something I know,its totally different kabisa yan u can be crazy together like ever the only thing needed ni mutual feelings yan hata mzidiane miaka 30 you wont even notice it.Mwanamke unakuwa na uoga mwingi , hauwi huru kumtania tania mpenzi au mume kuna heshima iliyopitiliza inakuwepo .Mwanaume anakuwa sio rafiki ,mshirikishaji katika mambo yake ,.
Mwanamke unakuwa na uoga mwingi , hauwi huru kumtania tania mpenzi au mume kuna heshima iliyopitiliza inakuwepo .Mwanaume anakuwa sio rafiki ,mshirikishaji katika mambo yake ,.
Ni kweliDaaah!!...umeongea kwa tone flani hivi kama upo kwenye situation hiyo.