Greetings All..!
Kwetu tumezaliwa watoto 6 wa kiume! Wote wameoa isipokuwa mimi. Hapa namaanisha hata wadogo zangu wameoa.
Ishu ni kwamba kati ya wote kuna waliooa umri sawa, umri unakaribiana, na wengine wameachana miaka 10.
Point ipo hapo, upi ni umri sahihi wa kufanya maisha na mwanamke! Hapo kuna matimbwiritimbwiri nayashuhudia ktk ndoa zote na hata kwa marafiki zangu, kiasi kwamba nabaki njia panda cjui wapi ni sahihi kujishikiza, nabaki najiuliza upi ni mchanganyiko kamili kama ituatavyo hapa chini:
Umri Mwanaume Umri Mwanamke Tofauti ya Umri
1. 34 26 8+
2. 37 38 1-
3. 40 22 18+
4. 33 33 0
5. 29 20 9+
6. 34 23 11+
NB: Kwanin wenye umri usiokaribiana huwa wanakuwa na maisha mzuri na matamu kuliko wenye umri unaokaribiana?.