Colour of Wedding

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,832
Sioni faida yeyote ya hii kitu inaitwa colour of wedding, sanasana ni kuiga tu utamaduni wa kimagharibi na kuongeza gharama zisizo kuwa na maana.
Ni wakati wetu sasa kurudi kwenye sherehe zetu za kimila badala ya kuukumbatia huu utamaduni mambo leo.
 
Hapo umeronga dada.
Mbona wazungu hawafanyi sherehe kwa kutuiga sisi?
Ni aibu sana, eti mzungu anafunga safari kuja Afrika aliko alikwa harusi, badala ya kukuta arusi ya Kiafrika anakuta ni harusi ya kiulayaulaya.
Wacha watuite manyani, ndicho tunacho stahili.
 
images

Ona hawa jamaa walivyo pendeza na mavazi ya utamaduni wa kwao.
Safi ile mbaya.
 
Sioni faida yeyote ya hii kitu inaitwa colour of wedding, sanasana ni kuiga tu utamaduni wa kimagharibi na kuongeza gharama zisizo kuwa na maana.
Ni wakati wetu sasa kurudi kwenye sherehe zetu za kimila badala ya kuukumbatia huu utamaduni mambo leo.

Naamini hata katika mila walikuwa na mavazi rasmi kwa ajili ya harusi na yalileta picha nzuri. Sijaona tatizo katika hili kwani huwa hazilazimishwi ila kama waweza vaa.
Na kama nimuhusika mkuu hutojali kuweka sale kuipa umuhim hiyo cku
 
Mi nadhani Nazjaz ameshindwa kuliweka vyema jambao analotaka kuongelea, nahisi alikuwa anamaanisha hataki tuige sherehe za harusi zenye mtazamo wa kimagharibi.
Thats my view.
 
Sioni faida yeyote ya hii kitu inaitwa colour of wedding, sanasana ni kuiga tu utamaduni wa kimagharibi na kuongeza gharama zisizo kuwa na maana.
Ni wakati wetu sasa kurudi kwenye sherehe zetu za kimila badala ya kuukumbatia huu utamaduni mambo leo.

Ushaolewa wewe? Basi kwa sisis tulio oa tunalijua hili vuri sana. Pilika hizi zote za kuiga mabao ya ulaya inatoka kwenu wanawake. Ndoa siku hizi zinatayarishwa na mashoga. Kwetu wanaume inakuwa taaabu tupu. Kwanza manatuingiza gharama kubwa eti kwa ajili ya kuiga shoga yake alivyoolewa. Pamoja na yote hayo hizo mila unazozingumzia zipo? au ndo mambo ya theory tu
 
Sijaona tatizo kwa swala la color what is the problem with it?? Wewe kama hutaki acha kwani ni lazima bana??? Acha watu wajipe raha zao mambo ya kuiga ya kizungu mbona mengi tu km Dini, mavazi, nk
 
Sioni tatizo mbona ukienda kununua nguo unachagua hiyo nguo kutokana rangi uliyoipenda
 
kweli kabisha dada hata mimi sifagilii hayo mambo kabisha yananiudhi me mungu akkinijaalia sitaki hayo mambo nataka utamaduni wangu
 
Hapo umeronga dada.
Mbona wazungu hawafanyi sherehe kwa kutuiga sisi?
Ni aibu sana, eti mzungu anafunga safari kuja Afrika aliko alikwa harusi, badala ya kukuta arusi ya Kiafrika anakuta ni harusi ya kiulayaulaya.
Wacha watuite manyani, ndicho tunacho stahili.

Tatizo letu ndo hilo, kila kitu tufanyacho eti lazima tumfurahishe mzungu, unataka mzungu aje atukute kwenye harus tumevaa ngozi au makaniki ili tu atabasamu na kutupiga picha akauze kwao kwa kuwa tumefanya kitu anachotamani kuona, ambacho kwao hakipo? why? kwa nini? na sie tukienda kwao tunakuta nini tumeandaliwa ili tufurahi? acheni utumwa bana, kila mtu na afanye kitu anachopenda kufurahisha moyo wake, ukipenda kuvaa magunia vaa, ukipenda kuvaa kizungu vaa, cha msingi fata mapigo ya moyo wako.
 
Nadhani hapa jambo la maana ni preference ya mtu. Mtu kufanya anachopenda kulingana na taste zake bila shinikizo na kulingana na kipato chake.

Kwahiyo so long as mnapendeza its all good..., and a mixture of culture here and there to get something better its all good. The only problem kwa sasa ndoa imekuwa ni ya wanakamati na mashoga ndio wanakuwa wanasay kubwa kuliko hata maharusi wenyewe. Kuna Mkuu amesema kwamba Bibi Harusi huwa wanaforce kufanya mambo mengi...Ni kweli lakini a wedding ceremony its one of the most important things in a girls life, kuliko sisi wanaume..., (therefore costwise kama mnaweza kuafford sio mbaya mkagharamikia in this special day..., I Repeat If You Can Afford)
 
Fanya kitu roho yako inavyopenda ilimradi umeridhika nacho. uige usiige yote ni kawaida!..Hamna jambo jipya duniani, yote yametokea na yanajirudia!!
 
kweli kabisha dada hata mimi sifagilii hayo mambo kabisha yananiudhi me mungu akkinijaalia sitaki hayo mambo nataka utamaduni wangu

wacha kutuzuga avatar yako tu ya kizungu mbona usingeweka ya mtu mweusi, rangi zipo kwa watu wote ina maana hata kama ukivaa kiutamaduni wako hiyo nguo haina rangi? Hata majani yana rangi.
 
kweli kabisha dada hata mimi sifagilii hayo mambo kabisha yananiudhi me mungu akkinijaalia sitaki hayo mambo nataka utamaduni wangu
Wabongo bana eti utamaduni,bongo kuna utamaduni gani wakati vitu vyote tunaiga
 
Back
Top Bottom