Colombia legalises gay marriage

Status
Not open for further replies.

Bill Cosby

JF-Expert Member
Sep 2, 2013
2,588
1,552
160407201700_pareja_mismo_sexo_colombia_640x360_afp_nocredit.jpg


Mahakama ya Juu nchini Colombia imehalalisha rasmi ndoa za wapenzi wa jinsia moja nchini humo.

Hatua hiyo inaifanya Colombia kuwa nchi ya nne ya Amerika Kusini kuhalalisha ndoa hizo.

Wapenzi wa jinsia moja nchini Colombia awali tayari walikuwa wameruhusiwa kuungana na kuishi pamoja, na walipata manufaa mengi yanayohusiana na ndoa ikiwa ni pamoja na urithi, malipo ya uzeeni na marupurupu ya afya.

Lakini hawakuwa wameruhusiwa kufunga ndoa rasmi jambo ambalo sasa limefanyika.

Uamuzi huo ulitarajiwa kwa kiasi kikubwa baada ya uamuzi wa mahakama mapema mwaka huu wa kukataa pendekezo la kuwataka wathibitishaji wa mahakama kutosajili miungano ya wapenzi wa jinsia moja kama ndoa.

=======================

Colombia's top court has legalised same-sex marriage, making the country the fourth in Latin America to do so.

Gay couples were already allowed to form civil partnerships, but Thursday's ruling extends them the same marriage rights as heterosexual couples.

Earlier this month the constitutional court dismissed a judge's petition against equal marriage rights for heterosexual and homosexual couples.

Argentina, Brazil and Uruguay have previously legalised same-sex marriage.

Argentina was the first Latin American country to take the step in July 2010.

In Mexico, gay marriage is legal in the capital and in certain states.


Colombia legalises gay marriage - BBC News
 
Dunia imevua nguo, kila mtu anafanya anachotanga, najaribu kuwaza watoto wetu wataishi maisha gan hapo baadae!!!

Duc In Altum.
 
Halafu hizo ndoa zinafungwa kanisani kwa jina la Yesu.

Eeh makafiri moto mkali unawasubiri.
Ivi we faizaFoxy unaugua siku izi ?? Mi nilijua nafikiri una miaka mingi hum JF hata umezeeka umeanza kupata dementia!! Ivi s wamesema hizo mambo ni mahakamani! Au chuki yako na yesu ndo inakusumbua!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom